Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,214
- 50,188
Duuh hayaAnza mazoezi haraka
Duuh hayaAnza mazoezi haraka
Yap bila kubana pumzi nmeishia 5, nmebana nmefika had 9Wapiga nduru mpo..🤣 ukitaka ubane pumzi muda mrefu ijaze kwanza then bana unaweza toboa kumi hiyo tano mbona chamtoto..
Wanicheka eeh, ila thanks😄Hahahahahahahahahahah pole sana lol!
Wameandika wapi..?Hujaambiwa ujaze pumzi kwanza, umekiuka taratibu husika 😛 😛
Sijakiuka ni mbinu hiyoHujaambiwa ujaze pumzi kwanza, umekiuka taratibu husika 😛 😛