Pima kiwango chako cha Uonaji hapa...

Pima kiwango chako cha Uonaji hapa...

Namba 1..umekosa
namba 2......umekosa
Namba 3.....umekosa
namba 4....umekosa na Namba 5 pia umejosa.............
Hebu cheki kwa makini Sizinga, unaniangusha.........
Picha number 5 nikutajie!??utanipa nini Madame B
 
Last edited by a moderator:
.....hahahhaaaaaaaaaaaa Bado Picha ya 1.......ielezee.

Ngoja nikusaidie picha ya Pili................ni picha ya mvulana aliyeweka Mkono shavuni akiwa anasikitika...........itazame vizuri

Hizi ni fix hizi madam...hembu mark hiyo picha tumuone kweli huyo ni mwanaume(gender) na huo mkono alioweka shavuni!! Otherwise tuombe radhi kwa udanganyifu
 
optical-illusion-57856619157.jpeg
sijui sayansi sijui uchawii mmh!!!!!!!!

mimi naona mouse ya computer:

officegadgets11.jpg
 
hebu nifundishe namna ya kuzungushia maduara.......
Mimi huwa na save pic kwa Desktop kisha na open kutumia Paint program ndio nazungushia kisha nairudisha jamvini!sijui kama kuna short cut nyingine!
 
farasi wapo 4 wakubwa na mmoja mdogo.........
ndege yupo nyuma ya hayo matawi mawili yaliyosegeleana........

nimeona sijaona......?

Duh! umeona vema aisee, yaelekea unakula sana tomato
 
dot-rotate-optical-illusion.gif


Hapo nimeshindwa kitendawili. ninakupa mji "idodia-ndole" unipe jibu.
Na wewe hapa unaona nini?
visual-illusion12.jpg
 
Mimi huwa na save pic kwa Desktop kisha na open kutumia Paint program ndio nazungushia kisha nairudisha jamvini!sijui kama kuna short cut nyingine!

asante sana....najaribu sasa hivi......
 
Kila jibu mimi nafikiri ni jibu sahihi kwa sababu hapa tunatumia perception .
Kila mtu anapersive anavyoongozwa na brain yake
 
dot-rotate-optical-illusion.gif


Hapo nimeshindwa kitendawili. ninakupa mji "idodia-ndole" unipe jibu.
Na wewe hapa unaona nini?
View attachment 85493
Hapo kuna picha za matukio ya aina mbili kwa kuangalia kwa mwanzo ni babu mwenye upara na ameweka mkono mmoja kwenye kifua chake!ila ukiangalia kwa umakini unajagundua kuwa si babu bali ni mama amebeba mtoto mdogo na pembeni yake yupo babu alie vaa kofia na kushika fimbo na mbele yao kuna mbwa amelala.
 
Back
Top Bottom