Pima kiwango chako cha Uonaji hapa...

Pima kiwango chako cha Uonaji hapa...

Picha ya nini hii
illusion_sax-1m71oe5.gif

..........na hii jee?
No%20title..jpg

optical-illustration%20%288%29.jpg
 
Je, Unaona Picha za Nini?
hidden+snow+girl+optical+illusion+by+Anh+Phm.jpg

Sadman+Illusion+Frame+Hidden+Face+Optical+Illusion.jpg

Skeleton+Optical+Illusion.jpg

Picha ya 3:
Ni skeleton ya binadam kichwa kimeelekea upande wa kulia, mbavu hizoo zimebaki moja moja na mwisho miguu hiyoo inaelekea kushoto kama inataka kuachana fulani hivi. Kichwa kama kina rasta kwa mbali. Naomba zawadi dada!
 
mmh! mwali zipo nilizoona vitu nyingine macho yameuma tu sijui kwanini
 
Farasi wakubwa 3 na mdogo 1 hamna ndege kuna matawi kama c rangi ya matawi basi yamekauka
 
.....hahahhaaaaaaaaaaaa Bado Picha ya 1.......ielezee.

Ngoja nikusaidie picha ya Pili................ni picha ya mvulana aliyeweka Mkono shavuni akiwa anasikitika...........itazame vizuri
 
mmh! mwali zipo nilizoona vitu nyingine macho yameuma tu sijui kwanini

Somo mbona unaniangusha...............kaza macho utazame vizuri.

Farasi wakubwa 3 na mdogo 1 hamna ndege kuna matawi kama c rangi ya matawi basi yamekauka

Tazama vizuri utamuona Ndege......ametulia tuli anakutazama.

Picha ya kwanza kuna kishimo picha ya pili kuna alama ya rangi nyekundu

Wapi hapo?

wapo faras saba

Hesabu miguu kwanza.
 
Back
Top Bottom