kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,641
- 19,033
Farasi wapo wa5.....kwa kuhesabu miguu!! Lo ndege m1
nami naona pia...
Farasi wapo wa5.....kwa kuhesabu miguu!! Lo ndege m1
nyau 9
uso 10
izo zingine nimeambulia patupu hadi nimegeuza laptop chini juu hakuna kitu nisaidie
jamani ummu kulthumu, Umekosa zote....Hebu angalia vizuri shosti
tunawalaumu wamepata ziro kumbe hata mie nazungusha huku sasa kwenye 9 niongezee au nipunguze vileve kwenye kumi niongezee au nipunguze?af hiyo ya snow sinimepatia patia na wewe mwalimu mbona unakatisha tamaa
Panda 6, nyuso 13.
Picha ya kwanza farasi 5
Picha ya pili ndege 2
Nyingine nitarudi badae ngoja nipata mnyeko kwanza, naona maruweruwe
Hapo katikati unaona picha ya nini?
![]()
LE GAGNANT, hebu cheki tene, ne ten na tena........Farasi wapo 6, ila ndege mh!
Mapicha picha, cant be seen by my naked eyes.
Hii ni picha ya nini?
![]()
Jamani mamito, hebu jaribu jaribu bhana, waniangusha...
Kwenye Panda UMEPATA ila Nyuso...umekosa
Ndege hao wawili wako sehemu gani?
Kwa maana hiyo 'and' inamaanisha vitu viwili vinanyojitegemea?
kati ya Skull na woman