Pima kichwa chako kama unaweza hesabu

Tidito L

Member
Jan 23, 2011
97
16
kwa haraka haraka uki calculate huu usajiri wa magari mpaka tunamaliza herufi zote yaani ukitoa herufi ya O na I tumebakiza magari mangapi na herufi moja ya mwanzo inachukua maagari mangapi? hiyo ni chemsha bongo husitake kuoji zaidi.
 
Mkuu siuelewa.

Labda nikuulize, MS excel ina cell ngapi na kwanini mtu hajawahi zimaliza zote?
 
Hamna upimaji wa kichwa hapo,just apply the principles of permutation and combination,the formula infact.and you are done.
 
du watanzania bana, watu kuapply hata uwezo wetu kimahesabu tunashindwa unaanza kuleta vikwanzo then unajiita big thinker. hio aina maana yoote ila ni kuactivate brain zetu.kama unashindwa hata ukikaa kimiya hamna wa kukulaumu.
 
Hayo mahisabati yanini tena,ukweli ushajulikana,tatu bila zahitajika...au wewe wataka mbili?...
 
Daaa! Kweli jf imevamiwa, jamaa katoa uzi kwa maana atapata michango mbalimbali kwa watu makini. Na sio utaweza yote, linalokushinda kuchangia acha wachangie wengine na we tafuta unaloweza. Sio kuanza kukashfu au kutoa lugha isiyopendeza.
 
Back
Top Bottom