Pima IQ yako

Pima IQ yako

Inamaan hiki kiswali kimekutoa jasho nduki Shy land

Mmesaanda hapa……?

Ukijibu ni quote au ni mention nikwambie kama umepata au umekosa

sprites.png_t

Natumai itakuwa ni 13 kiongozi...!.
 
Last edited by a moderator:
Inamaan hiki kiswali kimekutoa jasho nduki Shy land

Mmesaanda hapa……?

Ukijibu ni quote au ni mention nikwambie kama umepata au umekosa

Jibu ni 6.

sina IQ kubwa lakini swali kama hilo si lakukosa..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom