Pilot mwenye uwezo wa kubeba ndege yake

Uchawi unanguvu sana kuliko nguvu za mchungaji kuliko imani, na unadhihirika kwa haraka, Mbinguni ni njia ndefu sana, hapo mchawi kadhiirika mapema,tusali
 
1.Wanausalama wameingizwa chaka tena. Kule pwani kuna yule kijana Kuli aliyekula dili na mganga akajifanya kaiba mzigo na ameshinwa kuutua,

2. Kule Mwanza kuna mtu anajiita nabii sumaridi alileta vijana kutoka Kigoma akajifanya wamenasa kwenye kanisa lake wananchi walipotaka kuwaua akawatetea

3. Leo hii mchongo huu wa wazi unatengenezw tena. mchungaji msukuma, anayejifanya mchawi msukuma... ili kesho wateja wajae kanisani kwake ,kwamba ana nguvu za kunasa wachawii!!!!!!???
 
Huyu mama alipandishwa kwa ngazi amelala vizuri kwenye concrete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…