Pilipili

belu

Member
Apr 24, 2015
53
9
Habarini wanajf

Karibuni pilipili nzuri yenye radha tamu inayoongeza hamasa ya kula chakula pia yatumika katika chakula cha aina yoyote...nimeiandaa katika mazingira safi na kua packed katika vifungashio salama kwa afya ya mlaji

BEI ni 3000 na nkikuletea mpaka kituon wanichangia 1000 ya nauli
Nipo dar(ubungo msewe)
0718632033
KARIBUNI SANA

1467114145213.jpg
 
Ujazo kias gan je ni kar
Nilitee niko ubungo maziwa karb na moveck hoter
 
Back
Top Bottom