Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

Edeleeni kubisha lakini tambuweni maisha ni tofauti na wengi tunavyo dhani. Mfano mtazame Inzi anapotua, kuna ishara hua anaifanya, yani hutikisa miguu ya mbele nakisha miguu ya nyuma, hii akiwa na maana WEWE UKILI JUA LAMBELE WENZAKO WANALIJUA LANYUMA. Kwahiyo endeleeni kubeza tiba hii lakini mwenzenu nisha gomboka fedheha na zarau za mashangingi. Hvi sasa bakora kwa kwenda mbele.
 
Najua wapo watakao ni dharau na kunibeza nawegine watazani labda naleta maskhara, atc. Lakini ukweli mimi nimtu mzima naakilizangu najua lipi zuli nalipi baya, upi wakat wa utani na upi wakati wa sirias. Tibahii nilipewa miaka kama 10 hivi iliyo pita ( manica, Mozambiqui ) kabla ya hapo nili kua ni miungoni mwa wanaume wenye Dushelele ndogo sana. Nilipata wakati mgumu nilipo kutana na mizigo ( wanawake wenye maumbo makubwa ) ilifika wakati nilishindwa kubaki na boxa/chupi sehem za ufukwe kwakujihisi haibu. Sikumoja nili muhadithia meu amigo ( rafiki ) kuusu hali yangu, akanielekeza kwa corandero ( mganga ) ndipo nilipo patwa na mshangao baada ya kupewa dawa ya kukuza Dushelele. Alinielekeze nitafute pilipili chunvi na limao kisha niitwangwe ile pilipili pamoja na chunvi baada ya kupata mchanganyiko huo nikamulie ile limao kisha niki pake kicha cha uume mara niendapo kulala. Nilitumia dawa hiyo kwamuda wa siku7 tu maajabu niliyo kutana nayo yalini staabisha, kitu kikawa kinajaa ndani ya chupi, kiki simama nchi kama 9 hivi, sinatena wasiwasi na mashankupe wa mjini. Kiufupi nasema pilipili imeni ponya. Kwahiyo kwakujua kuwa tatizo hili lina wasumbua wanaume wenzangu wengi nikaona siimbaya kuitoa fikra hii kwa atakae taka

Uwehu wa aina hii unastahili BAN ndefu kabisa!
Unawaongopea watu hadharani kwa issue sensitive kama hii,haujui madhara yake?
NYAMBAFF!
 
Tupia picha za dushelele lako mleta mada, kabla na baada ya tiba. Just for comparison.
 
Mkuu dawa hiyo tayar nimeichanganya vizuri lakin bado sijaipaka na niweka kwenye kopo, mi nipo serious naomba uniambie kama utan au kweli maana nina mpango wa kupaka leo usiku.

Serious msaada mkuu.

Mie ningekushauri usipake, iweke nyingi ya kutosha kisha uzamishe dushelele humo humo for maximum result. Yaani fanya kama tunavyofanyaga ile mishikaki ya pale Kariakoo; au we ni mtoto wa kishua?
 
Maneno yako hayana ukweli, kama ingekuwa pilipili ni tiba basi wahindi wangetisha badala yake walio wengi wajidai na vibamia
 
hii ni kali, umearibu ulipohiusisha pilipil imenifanya nisikuamin kabisa

Si ndio hapo mkuu, yaani mtu unawezaje kuleta mambo ya utani kwenye mambo ambayo yanaweza kuwadhulu binadamu wenzako. Eti pilipili!!! Hivi kwa nini wakati mwingine Watanzania wenzangu tunakuwa na ushauri/utani unaozidi mipaka.
 
Mie ningekushauri usipake, iweke nyingi ya kutosha kisha uzamishe dushelele humo humo for maximum result. Yaani fanya kama tunavyofanyaga ile mishikaki ya pale Kariakoo; au we ni mtoto wa kishua?

kabla ya kufanya hivyo piga simu hospital wakusogezee ambulance nyumban kwako maana khali itakuwa siyo nzur
 
Jamani tuelewane, sijausisha na kula coz najua itakuwasha, unatakiwa upake kichwa ya dushelele pindi uendapo kulala, zoezi hili ( kupakaa ) nalidumu kwa muda wa siku 7,

we jamaa iyo mbo..ga yako imekomaa kiasi gani... ivi we unaijua pilipili kweli.. au unazungumzia pilipili hoho???
 
bibie afrodenzi aweke kwenye jukwaa la Mambo ya kikubwa asiweke hapa umempatia huyu anasema maneno ya uongo kabisa mimi sikubaliani nae kabisa huyu.@Kitoabu

aweke tu anakotaka.
ilimaradi tuwe na ushahidi kama ni kweli ama La..

Hujambo lakini MziziMkavu.

Kila nikikuona nakumbuka taarabu fulani ya mid 90's

"Tiexii mpenzi doctor wangu wa zamaniiii"
"hayaaaa hayaaaa hayaaaaa"
"Tiexi akipasua rahaaaaa hupandaaa kichwaaaani "
"hayaaaaa hayaaaa hayaaa"

hahahahahah lol
sikumbuki wimbo wote bali wimbo unaitwa "Tiexi mpenzi" lolest
 
Last edited by a moderator:

Sijambo Rubani wangu afrodenzi umenitupa siku hizi vipi mzima lakini?????????????
 
Last edited by a moderator:
Najua wapo watakao ni dharau na kunibeza nawegine watazani labda naleta maskhara, atc. Lakini ukweli mimi nimtu mzima naakilizangu najua lipi zuli nalipi baya, upi wakat wa utani na upi wakati wa sirias. Tibahii nilipewa miaka kama 10 hivi iliyo pita ( manica, Mozambiqui ) kabla ya hapo nili kua ni miungoni mwa wanaume wenye Dushelele ndogo sana. Nilipata wakati mgumu nilipo kutana na mizigo ( wanawake wenye maumbo makubwa ) ilifika wakati nilishindwa kubaki na boxa/chupi sehem za ufukwe kwakujihisi haibu. Sikumoja nili muhadithia meu amigo ( rafiki ) kuusu hali yangu, akanielekeza kwa corandero ( mganga ) ndipo nilipo patwa na mshangao baada ya kupewa dawa ya kukuza Dushelele. Alinielekeze nitafute pilipili chunvi na limao kisha niitwangwe ile pilipili pamoja na chunvi baada ya kupata mchanganyiko huo nikamulie ile limao kisha niki pake kicha cha uume mara niendapo kulala. Nilitumia dawa hiyo kwamuda wa siku7 tu maajabu niliyo kutana nayo yalini staabisha, kitu kikawa kinajaa ndani ya chupi, kiki simama nchi kama 9 hivi, sinatena wasiwasi na mashankupe wa mjini. Kiufupi nasema pilipili imeni ponya. Kwahiyo kwakujua kuwa tatizo hili lina wasumbua wanaume wenzangu wengi nikaona siimbaya kuitoa fikra hii kwa atakae taka

Mh? Hii mpya kabisa. kwanza limao na chumvi vyote noma, halafu ndo mtu achanganye na pilipili tena apake, alale? Kwanza utauguza kila kitu na utajuta kukurupuka. jamani totoe mawazo mazuri yanayosaidia sio yale ya kumudhuru mtu.
 
Mimi niko baabara natafuta tiba ya shimo panas. Watu wanahangaika na kuboresha mipini wakati tatizo lipo kwenye loose holes

Mkuu hapa umenena, mie si mchangiaji mzuri kwenye topic kama hizi, ila mara nyingi nimekuwa nikishangaaa wanao sema wao vibamia mmmh hawavitaki yaani wanahukumu upande mmoja bila ya kuangalia upande wa pili huenda wao wanaosema vibamia hawaivitaki inawezekana ndio wenye matatizo ktk nyeti zao. well said. nadhani hao akina dada nao watafute wabanishe zao
 
Back
Top Bottom