Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

Najua wapo watakao ni dharau na kunibeza nawegine watazani labda naleta maskhara, atc. Lakini ukweli mimi nimtu mzima naakilizangu najua lipi zuli nalipi baya, upi wakat wa utani na upi wakati wa sirias. Tibahii nilipewa miaka kama 10 hivi iliyo pita ( manica, Mozambiqui ) kabla ya hapo nili kua ni miungoni mwa wanaume wenye Dushelele ndogo sana. Nilipata wakati mgumu nilipo kutana na mizigo ( wanawake wenye maumbo makubwa ) ilifika wakati nilishindwa kubaki na boxa/chupi sehem za ufukwe kwakujihisi haibu. Sikumoja nili muhadithia meu amigo ( rafiki ) kuusu hali yangu, akanielekeza kwa corandero ( mganga ) ndipo nilipo patwa na mshangao baada ya kupewa dawa ya kukuza Dushelele. Alinielekeze nitafute pilipili chunvi na limao kisha niitwangwe ile pilipili pamoja na chunvi baada ya kupata mchanganyiko huo nikamulie ile limao kisha niki pake kicha cha uume mara niendapo kulala. Nilitumia dawa hiyo kwamuda wa siku7 tu maajabu niliyo kutana nayo yalini staabisha, kitu kikawa kinajaa ndani ya chupi, kiki simama nchi kama 9 hivi, sinatena wasiwasi na mashankupe wa mjini. Kiufupi nasema pilipili imeni ponya. Kwahiyo kwakujua kuwa tatizo hili lina wasumbua wanaume wenzangu wengi nikaona siimbaya kuitoa fikra hii kwa atakae taka

Mmh! Pilipili, uchanganye na limau na chumvi muwasho wake utatamani uikate we jaribu uone,
 
jamani pilipili haswaa... hawa wahindi wanaokula kila siku si wangekua na domo kama diamond????? acha masihara na ikulu za watu wewe...
 
Huu ni utani sidhani kama kweli upo siriaz!
 
Mkuu dawa hiyo tayar nimeichanganya vizuri lakin bado sijaipaka na niweka kwenye kopo, mi nipo serious naomba uniambie kama utan au kweli maana nina mpango wa kupaka leo usiku.

Serious msaada mkuu.
 
What I know Pepper (Pilipili) ina kimea kinachoitwa Caspin ambacho kina improve penis erection.
 
pilipili au pirpiri,kama pilipili nayoifaham cjajaribu bado!
 
Mkuu dawa hiyo tayar nimeichanganya vizuri lakin bado sijaipaka na niweka kwenye kopo, mi nipo serious naomba uniambie kama utan au kweli maana nina mpango wa kupaka leo usiku.

Serious msaada mkuu.

We paka jioni kesho tupe majibu kama mzigo umeanza kututumuka
 
hii ingekuwa tiba wahindi wangekuwa nazo za kikongo....!!!!!!!!!
Umesoma vizuri maelezo ya mleta thread? Yeye kaelekezwa na mganga na yawezekana ukimfuata mganga mdosi atakuelekeza/atakupa tiba hiyo.
 
ha ha ha ngoja kije kiishe hata hicho kiduchu alichonacho!!!!!!!!
 
Yaani humu watu wako na balaa kweli kweli, kuna mtu ameonja hadi za kikongo, kote huko kutafuta kubwa.

Matatizo ya kubwa au ndogo yamekuja baada ya watu kupoteza maadili, hivi wangebaki na mwanamme mmoja wangejuaje kama kuna kubwa na ndogo? lakini pia tungejuaje kama kuna zinazobana na zinazopwaya? na kwa kweli zipo nyingi tu zinazobana kisawasawa.

Halafu manataka kuongeza ukubwa ili mtuharibie hata zile zinazobana.
 
Najua wapo watakao ni dharau na kunibeza nawegine watazani labda naleta maskhara, atc. Lakini ukweli mimi nimtu mzima naakilizangu najua lipi zuli nalipi baya, upi wakat wa utani na upi wakati wa sirias. Tibahii nilipewa miaka kama 10 hivi iliyo pita ( manica, Mozambiqui ) kabla ya hapo nili kua ni miungoni mwa wanaume wenye Dushelele ndogo sana. Nilipata wakati mgumu nilipo kutana na mizigo ( wanawake wenye maumbo makubwa ) ilifika wakati nilishindwa kubaki na boxa/chupi sehem za ufukwe kwakujihisi haibu. Sikumoja nili muhadithia meu amigo ( rafiki ) kuusu hali yangu, akanielekeza kwa corandero ( mganga ) ndipo nilipo patwa na mshangao baada ya kupewa dawa ya kukuza Dushelele. Alinielekeze nitafute pilipili chunvi na limao kisha niitwangwe ile pilipili pamoja na chunvi baada ya kupata mchanganyiko huo nikamulie ile limao kisha niki pake kicha cha uume mara niendapo kulala. Nilitumia dawa hiyo kwamuda wa siku7 tu maajabu niliyo kutana nayo yalini staabisha, kitu kikawa kinajaa ndani ya chupi, kiki simama nchi kama 9 hivi, sinatena wasiwasi na mashankupe wa mjini. Kiufupi nasema pilipili imeni ponya. Kwahiyo kwakujua kuwa tatizo hili lina wasumbua wanaume wenzangu wengi nikaona siimbaya kuitoa fikra hii kwa atakae taka

Kilicho kuponya sio pilipili bali ni mcanganyiko wa pi*2+chumvi+ limao
 
ananikumbusha kuna babu yangu mmoja mwehu ... though marehemu kwa sasa .. alitutembelea na kukuta most of us wearing spects akamwambia mzee ana dawa ya macho na wajukuu watapona wote .. akaagiza wamletee pilipili kichaa akatwanga na kuchanganya na ndimu kisa akachuja vizuri .. baba akamwambia dawa hii niachie nitawatia machoni mwenyewe ... ndo ilikua pona yetu.

Alishajitia mganga akamfungia kichaa ndani akawasha jiko na kumwagia pilipili kichaa kisha kumfungia yule mwendawazimu chumbani ... alivyotoka akapona tangia siku hiyo kajifanya mganga na dawa kubwa ni pilipili kichaa

So hampishani ... watoto wa baba moja .. subiri kizazi chako huenda wakaridhi maumbile yako ... u will save them the embarrassment
 
jamani pilipili haswaa... hawa wahindi wanaokula kila siku si wangekua na domo kama diamond????? acha masihara na ikulu za watu wewe...
Jamani tuelewane, sijausisha na kula coz najua itakuwasha, unatakiwa upake kichwa ya dushelele pindi uendapo kulala, zoezi hili ( kupakaa ) nalidumu kwa muda wa siku 7,
 
Mkuu dawa hiyo tayar nimeichanganya vizuri lakin bado sijaipaka na niweka kwenye kopo, mi nipo serious naomba uniambie kama utan au kweli maana nina mpango wa kupaka leo usiku.

Serious msaada mkuu.
Mkuu nakushauri fanya hivyo ( pakaa ) pilipili chunvi limao ndio mkombozi wetu wanaume ( wenye vibamia )
 
Back
Top Bottom