Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

Mimi niko baabara natafuta tiba ya shimo panas. Watu wanahangaika na kuboresha mipini wakati tatizo lipo kwenye loose holes
 
we uko kundi gani ss ndogo haupo,kubwa haupo unanitia mashaka.
Hehehehe kuna moja umeisahau hapo. Ile unayoipendaga wewe LOL

Hebu come this way nikuchum

attachment.php
 
Hahhahahahahahaha
jf raha tupu hii technology lazima himlize mtu leo!
Sidhani kama tatizo ni kuwa na uume mdogo!
Aiseeeeee!
Uume mdogo sitatizo? Endelea kusikia kwa jirani tu, ili tatizo ni kubwa lina leta haibu hasa kwasisi tunao penda mizigo ( jimama ) kwani inakua haimfiki na akikohoa tu dushelele kule.
 
Najua wapo watakao ni dharau na kunibeza nawegine watazani labda naleta maskhara, atc. Lakini ukweli mimi nimtu mzima naakilizangu najua lipi zuli nalipi baya, upi wakat wa utani na upi wakati wa sirias. Tibahii nilipewa miaka kama 10 hivi iliyo pita ( manica, Mozambiqui ) kabla ya hapo nili kua ni miungoni mwa wanaume wenye Dushelele ndogo sana. Nilipata wakati mgumu nilipo kutana na mizigo ( wanawake wenye maumbo makubwa ) ilifika wakati nilishindwa kubaki na boxa/chupi sehem za ufukwe kwakujihisi haibu. Sikumoja nili muhadithia meu amigo ( rafiki ) kuusu hali yangu, akanielekeza kwa corandero ( mganga ) ndipo nilipo patwa na mshangao baada ya kupewa dawa ya kukuza Dushelele. Alinielekeze nitafute pilipili chunvi na limao kisha niitwangwe ile pilipili pamoja na chunvi baada ya kupata mchanganyiko huo nikamulie ile limao kisha niki pake kicha cha uume mara niendapo kulala. Nilitumia dawa hiyo kwamuda wa siku7 tu maajabu niliyo kutana nayo yalini staabisha, kitu kikawa kinajaa ndani ya chupi, kiki simama nchi kama 9 hivi, sinatena wasiwasi na mashankupe wa mjini. Kiufupi nasema pilipili imeni ponya. Kwahiyo kwakujua kuwa tatizo hili lina wasumbua wanaume wenzangu wengi nikaona siimbaya kuitoa fikra hii kwa atakae taka

Haahaahaahaa🙂. Umenikumbusha kituko cha utotoni; mtoto mwenzetu aliambiwa atafune pilipili kichaa atapewa gari! Kwa akili ya utoto na kutojua moto wa pilipili kichaa, akatafuna kwa pamoja pilipili kama 5 hivi! Kelele ilyofuata hakukumbuka hata aliahidiwa nini; mchezo ukavunjika na dogo aliia kwa kama saa nzima hadi akasinzia!

Sasa hamisha maaafa hayo kwa dogo kwenye CROWN ya dushelele....CHEZEA pilipili weweee!
 
mmh! tusubiri 'uzi' wa wadau wa JF kwamba 'nimetumia pilipili, chumvi na limao kwenye mb*o sasa nimeathirika'!
 
usitake kuleta uongo unaijua pilipili au unasema tu? jamani msimfuate huyu jamaa maana naona bagi sio nzuri sana
 
Kila ulicho pewa na Mungu kina faida, ukijaidi kumshinda Mungu ufundi...unaweza kujikuta unajuto kwanini hujatulizana na Dushilele yako orignal:biggrin:

We hujasikia msemo unasema Scud zilizo jificha ndani, ni hatari kuliko zinazo onekana:A S shade:

mkuu hapo nina wasiwasi na hilo unalolisema, inakuwaje wanaume wanazaliwa wazima, na kisha mungu huyohuyo anasema watairiwe,?
 
Back
Top Bottom