donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,048
- 21,526
Mambo ya kujinoma
Hahahah, zenj wanaita 'Kibuluungojaa wajee wenzako wameshawaza vinginee na hii mvuaa
Ngoja nichukue maji hapa nishushie..
Ulivyofyonya sasa..!
!
Mimi Nikajua Pilau Pilau La Ukweli. Kumbe Ni Pilau Hilo La Mibwabwa Na Broilers? Mfyuuuuuu
Hahaha nimeipenda hii comment, ice cream inakua kama dessert? Mimi hua beef ndio nafanya dessertRaha jiwe mwenyewe, napenda sana kula hasa chakula kitamu.... ila raha ya pilau kachumbari bana hata kama ni ya nyanya na kitunguu pekee weeh. Halafu pilau ulile kwa mkono weeweeh utamu kunoga hadi kisogoni.
Baadae namalizia na ndizi kisukari na ice cream...
Enjoy your food Don.
Hahah!! Mkuu unajua kujipendelea sanaMambo ya kujinomaView attachment 775080
unependa sana pilau!
!
Mimi Nikajua Pilau Pilau La Ukweli. Kumbe Ni Pilau Hilo La Mibwabwa Na Broilers? Mfyuuuuuu
Raha jiwe mwenyewe, napenda sana kula hasa chakula kitamu.... ila raha ya pilau kachumbari bana hata kama ni ya nyanya na kitunguu pekee weeh. Halafu pilau ulile kwa mkono weeweeh utamu kunoga hadi kisogoni.
Baadae namalizia na ndizi kisukari na ice cream...
Enjoy your food Don.