Pilau....

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
Mambo ya kujinoma
Screenshot_2018-05-12-14-47-43-1.jpg
 
Raha jiwe mwenyewe, napenda sana kula hasa chakula kitamu.... ila raha ya pilau kachumbari bana hata kama ni ya nyanya na kitunguu pekee weeh. Halafu pilau ulile kwa mkono weeweeh utamu kunoga hadi kisogoni.

Baadae namalizia na ndizi kisukari na ice cream...

Enjoy your food Don.
 
Hahaha nimeipenda hii comment, ice cream inakua kama dessert? Mimi hua beef ndio nafanya dessert
 
Raha jiwe mwenyewe, napenda sana kula hasa chakula kitamu.... ila raha ya pilau kachumbari bana hata kama ni ya nyanya na kitunguu pekee weeh. Halafu pilau ulile kwa mkono weeweeh utamu kunoga hadi kisogoni.

Baadae namalizia na ndizi kisukari na ice cream...

Enjoy your food Don.

BAADA YA SHIBE, HILO GAME LAKE USIPIME
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom