Pilau la Kibunge Magetoni

Sikupingi hata kidogo, hiyo misumari n lazima iwe kumi na mbili
 
Mjomba......hahujaingiza pisi ..mrembo ...wa. Kila nae au wewe mchoyo???
Nimekula na masela, pisi zinapika wenyewe wakija siwezi nikaanza kukaanga vitunguu na mama yupo pembeni
 
Watu mnajua kupika aisee, hongera sana.
Pilau limenoga hatariii.. πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…