Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,857
- 89,750
Hamu la pilau limeniishia 😅, Sema katoakitu aisee 😊
Maandalizi ya upishi wake ni mazuri na pilau limetokea vizuri mno
Tabu imeanzia hapo hajaosha njegere wala nyama 🤕
Hamu la pilau limeniishia 😅, Sema katoakitu aisee 😊
Nimenyoosha Mikono juu wewe ni Mtoto wa magetoni ..Kimsingi "msosi wa magetoni" ni ugali wa dona na dagaa kumi na mbila za chukuchuku.
Ni tonge na mchuzi, tonge na mchuzi, tonge na mchuzi.
Sheria ni kuokota dagaa mmoja baada ya matonge kumi na saba. Ukizidisha unapigwa konzi la utosi na MKUU WA GETO.
Cc: Nyani Ngabu Lamomy Mpaji Mungu Half american mini - me DR Mambo Jambo Poor Brain Mbaga Jr Extrovert
Asante, hicho kinywaji kwa wote, kama hutumii pombe hauweki bado unapata taste nzuriShukrani aisee hicho kinywaji balaa hongera sana pilau limenyooka
😄😄 basi turudi tu na vijiko vyetu mambo yasiwe mengiMaandalizi ya upishi wake ni mazuri na pilau limetokea vizuri mno
Tabu imeanzia hapo hajaosha njegere wala nyama 🤕
😄 🤣, hapa ni geto, huoni tunakula ugali kwenye sufuriaHilo Siyo geto..
Na huo Siyo msosi wa magetoni..
🤣🤣🤣🤣🤣Kimsingi "msosi wa magetoni" ni ugali wa dona na dagaa kumi na mbili za chukuchuku.
Ni tonge na mchuzi, tonge na mchuzi, tonge na mchuzi.
Sheria ni kuokota dagaa mmoja baada ya matonge kumi na saba. Ukizidisha unapigwa konzi la utosi na MKUU WA GETO.
Cc: Nyani Ngabu Lamomy Mpaji Mungu Half american mini - me DR Mambo Jambo Poor Brain Mbaga Jr Extrovert min -me ndege JOHN Demi binti kiziwi wa UNYANKINDI
Njoo upike wewe mi nakua napiga picha then nafungulia threadMpaji Mungu njoo ujifunze kupika huku 😄
Mkishiba mkapumzike 🤣😋Njoo upike wewe mi nakua napiga picha then nafungulia thread
Unapikaje pilau na mwili hauna nguvu😃Leo nimeamka asubuhi nikaona nitoe kitu geto kama Mwachiluwi
Nilienda dukani kununua mahitaji na mengine yalikuwepo ndani
Nikachemsha nyama wakati inaiva nikaandaa viungo kama vinavyoonekana hapo chini
View attachment 3317600View attachment 3317601
Nyama haikua nzuri sana sababu sio fresh ila pilau lazima linoge,
Msela geto la jirani aliandaa breakfast ya ugali na mayai tukagonga wakati naanza kupika, ilikua saa tano asubuhi
View attachment 3317602
Nikaanza kupika kwa kukaanga viungo kwenye mafuta hadi kuiva, baada ya kuiva nilitwanga viungo vya pilau kwenye glass kwa kutwanga na mwiko(geto hamna kinu)(Saumu, pilau masala na tangawizi) kisha nikaviongeza kwenye mchanganyiko
View attachment 3317603
Kitu kikabadilika rangi kuwa brown nikaongeza njegere hicho kifuko kinauzwa buku tu, kisha nikaongeza supu na maji kipimo cha mchele kilo moja
View attachment 3317613
Nyama na viazi nilikaanga pembeni nikaweka baada ya maji kuchemka ili viazi visitengeze uzito kwenye maji ya mchele, baada ya kuviweka kwa maji nikaweka na mchele kitu kikafunikwa vizuri
View attachment 3317614
View attachment 3317619
Ndani ya dk ishirini geto pakaanza kunukia nikafungua madirisha na mlango kumuumiza roho demu mpangaji mwenzangu aliyenikataa kisa nakunywa pombe
View attachment 3317621View attachment 3317623
Wakati naandaa viungo nilikata pia viungo vya salad nikatia kwa fridge vipate baridi hapa nimetoa naongeza limao pilipili manga na mayonise, leo tunakula pilau na french salad
View attachment 3317628
Chini kuna ice cubes, smirnof ice, glass zina passion, sprite, limao na juice ya rosela kwa ajili cocktail ya kushushia pilau letu la kibunge,
Glass zipo tatu nilimpigia simu mwana aje kula pamoja na msela tuliyekula nae ugali asubuhi alikua mpiga picha wangu hivyo tupo watatu
View attachment 3317639
Niambie umependa part gani kwenye comments uje kula pilau
View attachment 3317642
Formula ni ile ile tumbo lishibe betri/kichupa ziwe/liwe emptyMkishiba mkapumzike 🤣😋
Yeah nimeona wala sio kaziKaribu sana,
Ni simple sana, unapiga picha zako picha moja haitumii ten secs kupiga, ukishiba unalala ukiamka unapost
🤣🤣hapana, ana ni inspireUna undugu na Mwachiluwi ?
😄😄 basi turudi tu na vijiko vyetu mambo yasiwe mengi
Karibu, hapa nakula tena huku najibu commentsPilau zuri sana hadi nimepata hamu.
Njoo upate kinywajiSio tumsaidie hata kuosha vyombo? 😂
Lakini mwanaume anayejua kupika apewe 🌹 yake
Ili nikitoa bomu usemwe mpaka utelekeze uzi wako 😂😂Njoo upike wewe mi nakua napiga picha then nafungulia thread
🤣🤣🤣🤣🤣Unapikaje pilau na mwili hauna nguvu😃
Lazima upate kaugali kdg kakukuongezea nguvu ya kupika pilau😃😃
Hongera kwa mapishi brother,mi nimependa part hiiNdani ya dk ishirini geto pakaanza kunukia nikafungua madirisha na mlango kumuumiza roho demu mpangaji mwenzangu aliyenikataa kisa nakunywa pombe