Pilau la Kibunge Magetoni

Pilau la Kibunge Magetoni

Hilo Siyo geto..

Na huo Siyo msosi wa magetoni..
Kimsingi "msosi wa magetoni" ni ugali wa dona na dagaa kumi na mbili za chukuchuku.

Ni tonge na mchuzi, tonge na mchuzi, tonge na mchuzi.

Sheria ni kuokota dagaa mmoja baada ya matonge kumi na saba. Ukizidisha unapigwa konzi la utosi na MKUU WA GETO.

Cc: Nyani Ngabu Lamomy Mpaji Mungu Half american mini - me DR Mambo Jambo Poor Brain Mbaga Jr secretarybird Extrovert min -me ndege JOHN Demi binti kiziwi wa UNYANKINDI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom