Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 15,717
- 50,051
Mambo yakienda vibaya sipeleki thread hewaniIli nikitoa bomu usemwe mpaka utelekeze uzi wako 😂😂
Mambo yakienda vibaya sipeleki thread hewaniIli nikitoa bomu usemwe mpaka utelekeze uzi wako 😂😂
Njoo upate kinywaji
🤣🤣🤣 hiyo nimechomekea tu watu watabasam wakisubiri picha zifungukeHongera kwa mapishi brother,mi nimependa part hii
Utaweka kikali au utatumia bila .....Nakuja hapo chap kwaa
🤣🤣 hapana simjuiYule mwamba Mwachiluwi ni ndugu yako ?
Utaweka kikali au utatumia bila .....
Hahaa hapo vizuri wahi mapemaKikali
Hiko bila nitatumia siku nikiwa kwenye dose ya dawa 😁
Hahaa nitatoa location mkuu ila sio dar ni mkoaniMkuu Koffi Annan siku nyingine toa location itapendeza sana. Hongera sana kwa mapishi.
Hapo sawaa 🙂Mambo yakienda vibaya sipeleki thread hewani
Sufuria ni hizi hizi? Watu wasije wakaacha kujadili mapishi wakadeal na rangi za sufuriaHapo sawaa 🙂
Hapana itabidi tufanye namnaSufuria ni hizi hizi? Watu wasije wakaacha kujadili mapishi wakadeal na rangi za sufuria
Sikupingi hata kidogo, hiyo misumari n lazima iwe kumi na mbiliKimsingi "msosi wa magetoni" ni ugali wa dona na dagaa kumi na mbili za chukuchuku.
Ni tonge na mchuzi, tonge na mchuzi, tonge na mchuzi.
Sheria ni kuokota dagaa mmoja baada ya matonge kumi na saba. Ukizidisha unapigwa konzi la utosi na MKUU WA GETO.
Cc: Nyani Ngabu Lamomy Mpaji Mungu Half american mini - me DR Mambo Jambo Poor Brain Mbaga Jr secretarybird Extrovert min -me ndege JOHN Demi binti kiziwi wa UNYANKINDI
Mambo ya mwachiluwi hayaThis is what we call Mwachiluwi effect . ,,🤣🤣🤣🤣 Mwachiluwi parade yako Imenyooka
Hongera Koffi Annan tunasubiri siku ya Biriyani Pia
Nimekula na masela, pisi zinapika wenyewe wakija siwezi nikaanza kukaanga vitunguu na mama yupo pembeniMjomba......hahujaingiza pisi ..mrembo ...wa. Kila nae au wewe mchoyo???
Umri badoIla fanya UOE