Pikipiki sanlg original na feki

Mu7

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
1,560
1,821
Waungwana naomba mwenye uelewa wa namna ya kuitambua pikipiki SANLG original anisaidie maana nina mpango wa kujitafutia kausafiri hako japo ka kimaskini.
Nawasilisha.
 
Leta M2 nikupe HERO mpya kabisa
 
Waungwana naomba mwenye uelewa wa namna ya kuitambua pikipiki SANLG original anisaidie maana nina mpango wa kujitafutia kausafiri hako japo ka kimaskini.
Nawasilisha.
Pikipiki SANLG ni usafiri wa kimasikini? Na watembea kwa miguu je? Walemavu?
 
Sorry! Nimefuta kauli! Lakini nisaidie namna ya kuitambua original maana nasikia feki ziko nyingi mtaani!
 
1) Inakuja ikiwa imefungwa kabisa toka kiwandani, ukiona imekuja ktk sanduku kama nyanya, jua umejila mwenyewe.
2) Mchina haleti kitu feki Tz ila analeta chenye ubora kuanzia 7/10 hadi 10/10, sasa wewe utachagua kipi kitakufaa kwa mahitaji yako na mfuko wako ki fedha.
 
Back
Top Bottom