Pikipiki inauzwa laki 9 cash

Pikipiki inauzwa laki 9 cash

Asanteni kwa ushirikiano wenu pkpk nishapata mteja kwaiyo ishauzwa haipo tena
 
Kama we ni mwalimu mbona picha inaonyesha pkpk iko kijiweni hapo. Acha mbwembwe Bodaboda ww.
 
kuruta.... Kwani umeambiwa mwalimu ni mfungwa mpaka akae sehemu moja (jela)?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom