Alex Katto
Senior Member
- Mar 3, 2013
- 155
- 20
Kama kichwa cha habari hapo juu pikipiki inaitwa king lion 150, nimetumia mwaka mmoja na mi ni mwalimu, kwa hiyo utumiaji ulikuwa mzuri tofauti na waendesha bodaboda, mi nilikuwa naendea kazini na kurudi tu, sasa nahama mkoa huu wa Dar es Salaam naenda Mwanza ndo maana naiuza.....
Kwa mawasiliano nitafute namba hii 0763-812-605 whtsup pia namba hiyo..
Picha pia hii
Kwa mawasiliano nitafute namba hii 0763-812-605 whtsup pia namba hiyo..
Picha pia hii