Car4Sale Suzuki Van for sale 4.8m, pungufu unaongea

Frank jb

JF-Expert Member
Jun 3, 2014
418
120
Suzuki van for sale 4.8m pungufu unaongea

Habari zenu wapendwa, nauza gari yangu aina ya suzuki every van tshs. 4,800,000/= pungufu unaongea. Mimi ndie mmiliki wa gari na wala sio dalali. Wasiliana nami kupitia namba 0716 00 23 23, frank jb.

Namba ya gari ni: t 411 caf, suzuki every.

Rangi ni: silver.

Gari ni ya mwaka: 2000.

Ukubwa engine ina cc: 657.

Gari ni nzima na haidaiwi, ni full vibali yani wewe ni kulipia, kuwasha na kuondoka.

Na ni automatic gear na inapakia watu saba (7) mpaka tisa (9).

Na mpaka sasa imetembea kilometa 85,000 tu.

Kwenye upande wa mafuta inanusa kwakuwa ina engine ndogo, na mizunguko yangu huwa natoka nayo goba nyumbani kwangu hadi kinondoni kazini kwangu kwahivyo nikiweka mafuta full tank ya elfu 60 huwa nayatumia siku 13 mpaka siku 14 ndo naingia petrol station tena.

Dhumuni ya kuiuza: nina uhitaji wa pesa haraka ili niweze kufanyia biashara nyingine kwahivyo usiwe na wasiwasi kuhusu bei kwakuwa bei inapungua tena inapungua sana tu usiogope mimi ndie mwenye gari, picha zake nimeambatanisha. Nipigie kwenye namba yangu ya 0716 00 23 23, frank jb ili tuongee, asante.

SAM_2824.JPG


SAM_2825.JPG

SAM_2826.JPG
SAM_2827.JPG


SAM_2828.JPG


SAM_2829.JPG

SAM_2830.JPG

SAM_2831.JPG

SAM_2832.JPG
SAM_2833.JPG
SAM_2834.JPG
SAM_2835.JPG
 
Back
Top Bottom