sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 4,478
- 11,014
Kwaiyo hapo umeona mlio tu,?We simu yako Haina mlio mpaka kazi ya simu ifanywe na pipiki?
Suluhu wewe!
Kwaiyo hapo umeona mlio tu,?We simu yako Haina mlio mpaka kazi ya simu ifanywe na pipiki?
Suluhu wewe!
Pamoja mkuu, nashukuru, hiyo pesa siyo ndogo, ila kwangu inanikaba.Mwisho wangu 500K mkuu
Ukifika bei nicheki PM
Wewe expensive life unawaza habari ya kula,we tulia hapo upate watejaMkuu umekula leo?
Boxer ikuonyeshe simu inaita kaka?Kwenye dashboard Kuna taarifa nyingi sio gia tu..Kuna speed,taa ya mafuta,simu kama inaita,taarifa ya kilometers ulizotembea
😂 hiyo 60k unanunua dashboard na pesa kibao inabaki.Naonaje speed sasa , kula elfu 60
Hiyo siyo sababu tank inanyooshwa vizuri tu kwa buku tano. Sema lingine.100k ipo mfuko wa shati niipeleke kijijini wakabebee mkaa maana tank lenyewe lishabonyea ishakulipa unataka kuutua mzigo kwetu kula 100k
Linyooshe Sasa hivi Kwa akili Yako Hilo fupa utamuuzia nani hiyo Bei Hilo iinatakiwa liende porini kubeba mikaaHiyo siyo sababu tank inanyooshwa vizuri tu kwa buku tano. Sema lingine.
😂😂😂😂Ata dashboard hamna mkuu alafu unasema matengezo madogo madogo
😂😂😂😂yani hilo fupa ndo laki 7?!!
😂 karibu mkuu, mpya inauzwa 3.5 million wewe itakuchukua miaka 1000 kununua.yani hilo fupa ndo laki 7?!!
Sawa mtabiri wa maisha ya watu😂 karibu mkuu, mpya inauzwa 3.5 million wewe itakuchukua miaka 1000 kununua.