Pikipiki aina ya boxes inauwza, laki saba

Pikipiki aina ya boxes inauwza, laki saba

Bora mngenipa tenda ya kuitangaza, ubovu wa picha zako unafanya ionekane ya kichovu.

Inaonekana haijaoshwa.

Mzee ipige maji vizuri, ipake wese, tumia simu yenye camera kali, iweke nje sehemu tulivu kivulini. Fyatua picha kali kali , udhaifu mdogo mdogo kama huo hapo wa tenki kubonyea ufiche kiaina.

Halafu post sasa uone simu zikiita mpaka simu ipate wehu.
Ili atuibie vizuri?
 
Kwa msiojua hii pikipiki inahitaji mabotesho kama ifuatavyo:

Dashboard 35k
Tyre la nyuma mgongo mpana 43k
Tyre la mbele mgongo mpana 33k
matengenezo mengine madogo madogo hayazidi 50k. Kwa laki na sitini tu unamaliza kila kitu.

Mpe mtu mkataba wa miezi saba kwa siku akuletee 10k. Baada ya miezi saba inakuwa ya kwake.
Mkuu badala ya kuiuza kwa nini usifanye hivyo kama ulivyohainisha ili upate faida mara dufu?
 
Mkuu badala ya kuiuza kwa nini usifanye hivyo kama ulivyohainisha ili upate faida mara dufu?
mkuu nimesha fanya hivyo ila bahati mbaya nimepata kijana asiye muadilifu. Hicho chombo nimeng’anya hivi karibuni, pesa hakuna service hakuna. Kwa hicho chombo nimekula hasara tu.
 
Kwa msiojua hii pikipiki inahitaji mabotesho kama ifuatavyo:

Dashboard 35k
Tyre la nyuma mgongo mpana 43k
Tyre la mbele mgongo mpana 33k
matengenezo mengine madogo madogo hayazidi 50k. Kwa laki na sitini tu unamaliza kila kitu.

Mpe mtu mkataba wa miezi saba kwa siku akuletee 10k. Baada ya miezi saba inakuwa ya kwake.
Wee unaweza leta iyo 10k kwa siku au unaropoka tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom