Pikipiki 2 mpya za mkopo zinahitajika

Pikipiki 2 mpya za mkopo zinahitajika

Zombi Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
1,076
Reaction score
2,161
Wakuu kuna chaka nipo kama mnavojua najihusisha na mambo ya uvuvi na sehemu niliopo kuna changamoto ya usafiri maana ni porin sasa nilikuwa nahitaji mtu ambaye tunaweza kuingia mkataba akanikopesha pikipiki 2 aina ya haojue mninga cc 125.

Kama kuna yeyote atakuwa tayari pm ipo wazo kwa makubaliano

*************************************""*
Ishu imeshakuwa solved asanten kwa ushirikiano wote mlionifata pm
 
Wakuu kuna chaka nipo kama mnavojua najihusisha na mambo ya uvuvi na sehemu niliopo kuna changamoto ya usafiri maana ni porin sasa nilikuwa nahitaji mtu ambaye tunaweza kuingia mkataba akanikopesha pikipiki 2 aina ya haojue mninga cc 125.

Kama kuna yeyote atakuwa tayari pm ipo wazo kwa makubaliano
Njoo na 2.1M nikupe Kinglion yangu Mpya KM elf4.
 
Ndio nipo dsm nakaa kitunda Nina ofisi yangu sinza Mori jirani na sheli ya Bigbon Karibu pm.
Kuna kampuni inaitwa watu wanakopesha pikipiki mpya kabisa kama upo willing nikuunganishe nao ila ni lazima uwe na laki 4 kianzio na mdhamini mmoja mwenye kitambulisho halali...na wewe pia uwe na kitambulisho chochote halali...{vitambulosho halali ni vile vilivyotolewa na serikali tu} ukiwa navyo hivyo kesho mapema tu unachukua pikipiki Yako mpya kabisa
 
Hao Ndugu yangu wanataka 15 per day kwa miezi 10 ambayo kwa mie naetaka kutumia Kama usafiri wangu binafsi ni changamoto unaweza gombana na Watu bure
 
Halafu kwa siku unapeleka kiasi gani?
 
Hapana sio elfu kumi 15 kama ulivyo andika ni shilingi elfu 60500/= tu Kwa wiki hapo ukigawa Kwa 7 ni sawa na 8650 hivi Kwa siku...wako simple sana ukiwa teyari niambie
 
Halafu kwa siku unapeleka kiasi gani?

Wengi wanataka 15 cash kwa miezi kumi na ikitokea umeshindwa Yaani umepeleka pesa kwa miezi sita ukashindwa pesa yako uliopeleka miezi yote hiyo hairudi na Mali Yao wanachukua mikataba Yao migumu
 
Hapo ninapo taka kukuelekeza ni kampuni sio mtu kama unavyodhani wewe...ndio maana wao Wana kianzio cha shilingi laki nne...!
 
Ni pm tafadhari
Ngoja nikutumie mchanganuo wao wa malipo uonehuyo hapo amechukua huyo mkopo mwezi wa nne na hivyo ndivyo
IMG_20230531_092020_9.jpg
anavyo lipa
 
Back
Top Bottom