puppa sasa bajaji daaahNunua bajaji
Kama utaitumia mwenyewe, nunua boxer.
Lakini kama unajua itakuwa ya mob nakushauri ununue toyo power king.
Itakuwa personal item.
Boxer ni 2 millions plus, me nna 2m.
Na kwa nini iwe boxer na isiwe Honda and the like?
uimara na ubora ni vipaumbele vyangu huku nikibanwa na price. ( low cost maximum benefit)
Boxer ni pikipiki bora pia consumption yake ya petrol ni ndogo sana sana. Hauta umia katika hili. Pia boxer inadumu kwasababu imetengenezwa kwa uimara. Boxer inatengenezwa na company inayotengeneza bajaj za TVS. Pia kwa speed si mchezo man.
Ila angalizo......spare za boxer ni expensive kama wewe si mtunzaji.
Ongeza chapaa kidogo uchukue chuma usitembee kwa mguu kijana.......changamka.
Nunua GSM 125 price yake ni 1.7 M hadi 1.6 me, hutajutia uamuzi wako, inanguvu ya ajabu unapanda kitonga na namba 4 hadi 5. Fuel consumption haipishani sana na boxer, pia spare zake ni cheap kuliko nyingine. Other benefits: Iko very comfortable inapita njia yoyote, ukinunua spare yake utaibadilisha baada ya mwaka au miezi mingi tu. Period!
Nimejaribu kutafuta picha nimeikosa.