MICHAEL SON
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 458
- 536
Wanawahi nafasi CCM na NCCR.Mbowe anazidi kubamizwa.
NAOMBA KUNITAJIA MURO MMOJA TU MWENYE AKILIMbowe anazidi kubamizwa.
Utapata taabu sanaMbowe anazidi kubamizwa.
Ndio kipaumbele Chao,ni mume wao hivo lzm wamtajeKila Siku ni Mbowe,Mbowe
Bado unanibinyia pua tu?We poyoyo tu
Na wewe nitajie Kihava mmoja tu mwenye akili.NAOMBA KUNITAJIA MURO MMOJA TU MWENYE AKILI
So what?Mbaya zaidi aliyehama anaitwa muro
Azae nao tuLazma.wamtaje huyo ni mwamba
Mmefilisika kisiasa yaani hata Mbatia nae anawanunua chadema? Kweli muro kasema mnakwepa ngumi kwa kufumba macho.Hao hawana sumu kisiasa hapa nchi. Wamefika bei acha wawahi juisi ya usaliti
Magu kaingiaje hapo? Diwani kahamia nccr mageuzi labda ungesema Mbatia.Hapa magu ananiangushaga sana mbona anatumia nguvu nyingi kwa opposition hajiamini 🙁 🙁