Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,901
- 27,422
Kama MALCOM LUMUMBA angechelewa kidogo kurudisha avatar yake asili, basi 'ningeandamana'Umenena vema Malcom Lumumba; hongera sana kwa kurejesha avatar yako asili, safi sana.
hongera sana kwa kurejesha avatar yako asili, safi sana.
Kama MALCOM LUMUMBA angechelewa kidogo kurudisha avatar yake asili, basi 'ningeandamana'
Mimi niliwahi kubadirisha ya kwangu dada back then akiitwa Russian Roulette akaniomba niirudishe kwani kwake ina maana kubwa sana. Nami kwa heshima na aporeciations nikairudisha
Sana, hasa wakisha Ku mark wanakua wamekujengea image yao, Sasa unapoibadirisha inachukuliwa kama vile umebadiri wajihi...hapo hata wakisoma comments zako wanakua kama dots hazi connectHivi kumbe watu wanazipa Avatar uzito mkubwa hivyo?
Id yako ni kibokoUmenena vema Malcom Lumumba; hongera sana kwa kurejesha avatar yako asili, safi sana.
Utabiri wako unaegemea wapi?Huu uchaguzi umekuwa na mchuano mkali sana mwaka huu,
Kumbe na wewe unapitaga huku!Aiseee uchaguzi wa mwaka huu ni balaa!!
Go Trump.
Yeap napitaga sana tu, sema nakuwaga msomaji tu.Kumbe na wewe unapitaga huku!
Ahaa....nikuwa najuwa wewe in wa kule kwenye umbea tu..[emoji4] [emoji4]Yeap napitaga sana tu, sema nakuwaga msomaji tu.
Teh teh teeeh!!Ahaa....nikuwa najuwa wewe in wa kule kwenye umbea tu..[emoji4] [emoji4]
[emoji124]Teh teh teeeh!!
Hello my sisyTeh teh teeeh!!
Hi broda!Hello my sisy