Clinton nearly doubles lead over Trump in latest CNBC survey
https://www.yahoo.com/finance/news/clinton-nearly-doubles-lead-over-113222740.html
With only a dozen days to go before the election, Democratic nominee Hillary Clintonhas ratcheted up her lead over Republican nominee Donald Trump to 9 points, according to the latest CNBC All-America Economic Survey , nearly doubling her advantage from the last poll.
After weeks and months of what many Republican strategists called verbal and strategic missteps by Trump, and despite potentially ruinous revelations from leaked Clinton campaign emails, the Democrat leads the Republican nominee by 46 percent to 37 percent among registered voters in a two-way race and by the same margin among likely voters. In June, Clinton led by just 5 points
Kwakweli hapa ni kusubiri matokeo kwani kila mgombeaji anajua jinsi ya kucheza na hizi polls......
FBI wafungua uchunguzi juu ya email zake kuhusishwa na uchunguzi wa kesi ya maswala ya mapenzi ya Anthony Wiener ambae alikuwa ni mtu wa karibu wa Hillary kipindi akiwa secretary of the state pamoja na harakati zake za kuwanaia urasi wa marekani.
Hatua hii imeongeza nguvu kwenye madai Trump kuwa Hillary anatakiwa kushtakiwa na endapo akishinda lazima Hillary afanyiwe uchunguzi wa kina na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria
Trump alishawahi kuonya juu ya mahusiano ya kikazi ya Hillary na Anthony
View attachment 425860
Nadhani hii itasadia kwa kiasi fulani kumbeba Trump ambae hadi sasa polls zinaonesha kuwa yupo nyuma ya Clinton kwa wastani wa Point 4-5
USA sio TZ dungu subiri filimbi ya mwisho.Hii game ishakamilika Hillary anasubiri January aapishwe....
Hilo limemkalia vibaya Hillary imeshusha popularity yake sana kwenye poll. Upepo umebadilika!Pamoja na hayo yote huyo mama ndo the next POTUS
Pole sana, wamechelewa sana, the election is already in the bag, there is nothing the Donald can do to change that at this stage
Na Qaddafi naye sitaki kumsikia kabisa maana askari wake walishirikiana na Amin kuwaua ndugu zetu wa Kagerahuyu Bibi alishiriki kumuua Qaddafi sitaki hata kumuona
huyu Bibi alishiriki kumuua Qaddafi sitaki hata kumuona
Na Qaddafi naye sitaki kumsikia kabisa maana askari wake walishirikiana na Amin kuwaua ndugu zetu wa Kagera