Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,057
- 2,637
MshanaJr ndiyo imani zenyewe hizo tuziheshimu kwa sababu kuna watu wanaziamini.
Wazungu hawakuziheshimu za kwetu wakaziita za kishenzi, nasi tumeamua kufuata humo humo kuziita za wenzetu vibanda imani.
Bado ukoloni uko katika bongo zetu