Pigo la kwanza kwa Simbachawene

Pigo la kwanza kwa Simbachawene

Mshana Jr, Umetendea haki school fees aliyolipa Mzee wako!! Uchambuzi kuntu! shida hawa wanaokuwa wanasiasa bila ya kusomea siasa.Hawajua hata kuongea tu mbele za watu huwa huwa wanajifunza.RHETORIC NI SOMO KWA WENZETU NI LAZIMA KUSOMA KWA MWANASIASA
 
Umetendea haki school fees aliyolipa Mzee wako!! Uchambuzi kuntu! shida hawa wanaokuwa wanasiasa bila ya kusomea siasa.Hawajua hata kuongea tu mbele za watu huwa huwa wanajifunza.RHETORIC NI SOMO KWA WENZETU NI LAZIMA KUSOMA KWA MWANASIASA

Jr
 
Ulivyo binafsi chuki kwa Simbachawene kiasi cha kumhusisha na vifo vilivyotokea Moshi na Lindi haiingii akilini!
Kisa ni nini hasa? Mnategemea kupata vyeo kwa kupakaza wenzenu matope? Mshana Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ibada ya kuaga marehemu waliopoteza maisha yao kwenye kongamano la kukanyaga mafuta

Jr
 
Kama hujaelewa nilichoandika uliza utaeleweshwa kwa upole na weledi... Hebu nioneshe ziko wapi cbuki zangu kwa Simbachawene?
Ulivyo binafsi chuki kwa Simbachawene kiasi cha kumhusisha na vifo vilivyotokea Moshi na Lindi haiingii akilini!
Kisa ni nini hasa? Mnategemea kupata vyeo kwa kupakaza wenzenu matope?

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Hilo la jkt marekebisho kidogo sio jkt ni jw msata walikuwa kwenye mazoezi waliishiwa nguvu ghafla na kutapika vitu kama wamekula sumu na walipelekwa hospital lugalo ndio wakapata na umauti Mshana Jr
 
Ajakamatwa kiboya kama unavyodhani, na asingekuwa ibadani kuwaaga waumini na kuwaelezea yaliyotokea naakawaambia anarudi moshi ,acha kusema mambo ambayo hukuwepo bana mshana
What a waste of time... Angekuwa bingwa sana asingekamatwa kiboya... Angetumia mafuta yake ya upako kumkinga na mkono wa sheria

Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana kwa marekebisho
Hilo la jkt marekebisho kidogo sio jkt ni jw msata walikuwa kwenye mazoezi waliishiwa nguvu ghafla na kutapika vitu kama wamekula sumu na walipelekwa hospital lugalo ndio wakapata na umauti.

Jr
 
Kakamatwa kiboya... Full stop... Wanaume wa shughuli walioihenyesha dunia ni akina Usama na Carlos the jackal
Ajakamatwa kiboya kama unavyodhani, na asingekuwa ibadani kuwaaga waumini na kuwaelezea yaliyotokea naakawaambia anarudi moshi ,acha kusema mambo ambayo hukuwepo bana mshana

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Dah! Taifa lina kazi kubwa hili. Shida ipo kuanzia juu hadi chini kabisa, kama maoni yenyewe ndio haya...safari bado ni ndefu!!!
ona wenzetu kenya jana wanafunzi 13 wamekufa kwa kukanyagana angalia hawana haraka za kutoa statement kama simbachawene na mkuu wa mkoa walivyofanya ona mkuu wa polisi alivyosema kwa weledi bila papara hata Raila Odinga kiongozi wa upinzani ona alivyosema kwa hekima ikngekuwa hapa kwetu hawa malimbukeni wa upinzani wangebwata matakataka

At least 13 students have been killed and dozens wounded in a stampede at a primary school in western Kenya, according to local media reports.

At least 39 pupils "were seriously wounded" at Kakamega Primary School on Monday, the Daily Nation newspaper reported.

"We have lost 13 children in this stampede and we have others in hospital with injuries," police chief David Kabena told journalists in Kakamega town.

The stampede occured at around 5:00 pm (1400 GMT) when a panic broke out as the students went home for the day from Kakamega Primary school.

The reason for the panic was not immediately unclear.

"We have launched an investigation to establish what exactly happened," Kabena said.

Kenya Red Cross said on Twitter that emergency services were responding to a "fatal stampede" at the school.

"My heartfelt condolences to parents that have lost loved ones in the unfortunate and regrettable tragedy at Kakamega Primary School. I wish a quick recovery to the injured children and pray that God grant strength to the affected families," former Prime Minister Raila Odinga said on Twitter.
 
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro amesema paliwekwa mabeseni ya mafuta katika mageti yote ila cha ajabu katika geti moja palitokea kundi la vijana kutoka nje ya uwanja na kulazimisha kuingia ndani kwa nguvu ndipo watu wakaanza kukanyagana.

Akizungumza katika ibada ya kuwaaga marehemu mama Mghwira amesema vijana hao hawaeleweki walikuwa wanaingia uwanjani kufanya nini kwani ibada ilishamalizika, yawezekana walikuwa vibaka.
ona wenzetu kenya jana wanafunzi 13 wamekufa kwa kukanyagana angalia hawana haraka za kutoa statement kama simbachawene na mkuu wa mkoa walivyofanya ona mkuu wa polisi alivyosema kwa weledi

At least 13 students have been killed and dozens wounded in a stampede at a primary school in western Kenya, according to local media reports.

At least 39 pupils "were seriously wounded" at Kakamega Primary School on Monday, the Daily Nation newspaper reported.

"We have lost 13 children in this stampede and we have others in hospital with injuries," police chief David Kabena told journalists in Kakamega town.

The stampede occured at around 5:00 pm (1400 GMT) when a panic broke out as the students went home for the day from Kakamega Primary school.

The reason for the panic was not immediately unclear.

"We have launched an investigation to establish what exactly happened," Kabena said.

Kenya Red Cross said on Twitter that emergency services were responding to a "fatal stampede" at the school.

"My heartfelt condolences to parents that have lost loved ones in the unfortunate and regrettable tragedy at Kakamega Primary School. I wish a quick recovery to the injured children and pray that God grant strength to the affected families," former Prime Minister Raila Odinga said on Twitter.

Jr
 
Nilisema hii wizara hata apewe mwinyi mtamkataa siku mbili tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Simbachawene mwenyewe ndie kaanza kujichemsha alisema atatumia wataalamu wa polisi zaidi kwenye utendaji

ghafla huyo kajiibukia kivyake na kuanza kuponda imani za watu mbele ya waandishi wa habari na kuita makanisa ya watu vibanda imani!!!! nyumba ya mtu ya kulala unaweza iita kibanda? sembuse nyumba ya kuabuadia mtu? unaidharau kiasi hicho na kuiita kibanda? huna adabu hata kidogo kisa ohhh mimi waziri.!!!! anyway uwaziri kauanzia mguu wa kushoto badala ya wa kulia
 
Back
Top Bottom