Pigeni mswaki

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,883
Reaction score
67,312
Mtu una acha kupiga mswaki una kazi ya kutafuna vitunguu saumu asubuhii na karafuu mdomo una anza kunuka kitunguu saumu aseee pigeni mswaki wengine hiyo harufu ya kitunguu ina kera sana hasa ikitoka mdomoni mwa binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…