Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
Ha ha ha we mkuuWapinzani wamekwamisha maendeleo sasa why mnawalazimisha kuingia bungeni, wapeni police wajaze viti maalumu
Umeongea point ila Hawa wapuuzi hujiona wapo sahihi muda wote hawahitaji kukosolewa....
Tunataka chama chetu kisikike, kuliko kukaa kimya kwa miaka mitanoWapinzani wamekwamisha maendeleo sasa why mnawalazimisha kuingia bungeni, wapeni police wajaze viti maalumu
Mtaanzisha nyuzi nyingi tu lakini mmebuma.
Hamuwezi kuwaibia Chadema wabunge wa majimbo, kisha mkazunguuka mkataka wawepo wale wa Asante NEC ili muweze kuwahadaa wahisani kuwa bunge ni la vyama vingi.
Sasa mko peke yenu leteni hayo maendeleo mliyokuwa mkisema wapinzani wanawakwaza tuone!
Kumbe jela ni chuo cha mafunzo!TUIOKOE CHADEMA KWA WABUNGE VITI MAALUM. VIBURI VYA VIONGOZI WAO VISIPOTEZE WATETEZI WA WANANCHI.
TUANZE NA HISTORIA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2019.
Don Nalimison naanza kwa hoja: CHADEMA ilijitoa Uchaguzi Mkuu wa Serikali za mitaa na hivyo wagombea wote wa CCM Nchi zima walipita bila kupingwa na hivyo CCM wakajitwalia Vijiji, Vitongoji na mitaa kwa bwerere, pamoja na CHADEMA kujiondoa lakini hakuna kilicho haribika na mpaka leo Viongozi wa Serikali za mitaa wanakula maisha tu. Kujitoa kwa CHADEMA kuliinufaisha CCM KUSHINDA kwa kishindo.
NB: Unapopambania Demokrasia hutakiwi kujitoa ni Bora uanguke kuliko kumpa nafasi mpinzani wako. Kosa la CHADEMA ni ujuaji usio na faida.
TUANGALIE SASA UTEUZI WABUNGE VITI MAALUM BAADA YA UCHAGUZI MKUU 2020.
Kama Chadema hawatapeleka Wabunge wao wa Viti Maalum hakuna chochote watakacho faidi zaidi ya kuwaachia CCM wafanye maamuzi bungeni hata kwenye Mambo ya kijinga. Kidogo kilichopo ndicho kitumike kuleta MABADILIKO ni heri moja yenye nguvu kuliko mbili isiyo na mashiko. Ni heri kupeleka hao wabunge wachache wakatie Chachu bungeni kuliko kuwaachia Uhuru wote CCM.
Ruzuku ya trioni mbili kuikosa Serikali kisa kukosekana wabunge wa upinzani ni sawa na bure maana CCM ndio Serikali wanaweza kubuni miladi au vyanzo vingine vya mapato na kufidia pengo la trioni mbili. Hivyo haisaidii Kuacha kupeleka wabunge Viti maalum. Ni bora wateuliwe waende bungeni wakatetee hojaza wananchi na mapendekezo ya Chama na hoja za Chama.
NB: Piganieni kupata Haki zenu kupitia wabunge watakao wawakilisha bungeni kwa hoja zitakazobeba msingi wa CHADEMA. Mimi Don Nalimison najaribu kujenga hoja ya kuokoa jahazi tu. Siku njema na Karibuni Kahama, Shinyanga.
DON NALIMISON.
Badala ya kumbeza tungetafakari kwanza kwa kuangalia kwa kina yatokanayo na kutoa serikali za mitaaMwambie aliyekutuma amefeli!
Acha unafiki, umeshasahau aliyesema mpaka kufika 2020 atahakikisha upinzani ameufuta?Mimi naamini kabisa kuwa Tundu Lisu ni mtu ambae ametumwa Kuja kuua upinzani Tanzania na hasa chadema take my words
Anaposema wasipeleke wabunge wa viti maalum wakati anajuafika msimamo wa serikali yetu ni Miaka mitano no siasa
Kwa maana hiyo chadema Watakaa Miaka mitano bila kusikika popote hapa Tanzania
Na ndio maana Lisu mwenyewe amesepa na hatorudi Tena Mpaka next uchaguzi,
Chadema wanatakiwa kuwaza Mara mbili
Hapana ila chama kinakuwa Hai, wabunge wanasikika wakitoa misimamo ya chama, hata ikiwa wanatoka njeKwani hao wabunge wa viti maalumu wana weza kuwazuia CCM kufanya watakayo?
Mtoto mpendwa Makonda sehemu yake ni ipi?Wabunge 10 wa kuteuliwa wa Magu
1.Queen Sendiga
2.Anna Mghwira
3.James Mbatia
4.Selasini Joseph
5.Lwakatare
6.Hashim Rungwe
7.Aggrey Mwanri
8.Angela Kariuki
9.Ibrahim Lipumba
10.Julius Mtatiro