Piga simu haraka sana 0717 425429

Piga simu haraka sana 0717 425429

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,984
Reaction score
168,500
552070_377760568961165_817557693_n.jpg
 
Fafanua kwanza, chango la uzazi ndio kitu gani?
 
Mkuu Bujibuji, Chipoteka ndilo jina lako la kazi?
 
Free Egypt napataka hapo ngoja nipige simu..... duuuduuuduuuu... Mbona hapokei? Pumbavu zake mganga kaona watanzania ni majuha Kama ccmama......
 
hapo kujiunga na freemason ndo anachekesha sana, kumbe kweli hawa waganga ni waongo 100%....nashangaa kwanini kina pinda na kikwete wanawapa vibali.
 
haya mabango kama haya yanashamiri bongo kwa maana akili zetu zinaonekana kuwa kama hivi pia, kazi tunayo
 
Alaaniwe yule amtegemeaye mwanadamu kuwa kinga yake n.k!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom