Kuna baadhi ya masuala na namna wanavyowasilisha taarifa zao sikubaliani nao lakini kukataa kwangu kusiwakilishe kuwa sikubaliani nao asilimia mia.
Mleta mada, tafadhari kuwa dhana moja ambayo unadhani tunaweza kuitumia kuongoza mchakato wako, wasiliana na Spiderman atasaidia, hii ni mada nzuri sana