decomm
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 726
- 666
Il Bob Marley alikosea 'proportionality'Halafu nimeona Photoshop,
BTW ni nzuri na imebamba

mkuu we kichwa,Kuna Maswali najiuliza Kwenye hiyo Picha,
1.Bob Marley alizaliwa 1945,
Hiyo picha Anaonekana ni Zaidi ya Miaka 30,Not below 30,
2.Mwaka 1967 Nelson Mandela Alifungwa Gerezani hadi Mwaka 1990.
3.Kwame Nkrumah Alifariki Miaka ya 1970s.
4.Muhammad Gaddafi Aliingia Madarakani Mwaka 1969 Tayari Mandela yupo Gerezani,
Hapo umenena mkuu! Nilikua najiuliza Bob na Marcus Garvey lini walikaa pamoja?Watu mnashindwa kuelewa, hii picha hakuna aliyesema siyo editing, mmeambiwa mtaje unayemjua
Ipo edited ila imetokelezeaMimi kwa kuanzia namtaja SankaraView attachment 825117
Hiyo picha ni photoshopped mkuuKuna Maswali najiuliza Kwenye hiyo Picha,
1.Bob Marley alizaliwa 1945,
Hiyo picha Anaonekana ni Zaidi ya Miaka 30,Not below 30,
2.Mwaka 1967 Nelson Mandela Alifungwa Gerezani hadi Mwaka 1990.
3.Kwame Nkrumah Alifariki Miaka ya 1970s.
4.Muhammad Gaddafi Aliingia Madarakani Mwaka 1969 Tayari Mandela yupo Gerezani,
Ya kuedit hio mkuuKuna Maswali najiuliza Kwenye hiyo Picha,
1.Bob Marley alizaliwa 1945,
Hiyo picha Anaonekana ni Zaidi ya Miaka 30,Not below 30,
2.Mwaka 1967 Nelson Mandela Alifungwa Gerezani hadi Mwaka 1990.
3.Kwame Nkrumah Alifariki Miaka ya 1970s.
4.Muhammad Gaddafi Aliingia Madarakani Mwaka 1969 Tayari Mandela yupo Gerezani,
Watanzania wanao reason safi sana mkuuKuna Maswali najiuliza Kwenye hiyo Picha,
1.Bob Marley alizaliwa 1945,
Hiyo picha Anaonekana ni Zaidi ya Miaka 30,Not below 30,
2.Mwaka 1967 Nelson Mandela Alifungwa Gerezani hadi Mwaka 1990.
3.Kwame Nkrumah Alifariki Miaka ya 1970s.
4.Muhammad Gaddafi Aliingia Madarakani Mwaka 1969 Tayari Mandela yupo Gerezani,
Photoshoped hyo mzeeKuna Maswali najiuliza Kwenye hiyo Picha,