Haziwezi kuisha ndugu yangu hata mpaka tunamaliza mwaka na kugeuka nao mwaka ujao.Yaani HARUFU kaleta madude mpaka nimeshindwa kuleta zangu maana mdau kamaliza zote
Haziwezi kuisha ndugu yangu hata mpaka tunamaliza mwaka na kugeuka nao mwaka ujao.
Wewe tupia na wakuu wengine tuwape nafasi waendelee kutupia.
Huu uzi labda tu watu waamue kuupumzisha kwa kweli bado sana, madude ni mengi mno
Kaka hiii kaandika nani nimeipenda sana aseee