Picnic ya wanajamiforums

I'm in....
Hivi na kubeba mabox miaka yote unataka kuniaminisha kwamba huwezi kwenda vacation binafsi na usafiri wako mpaka mchangishane na hawa watu wa fursa?

Mimi mara ya mwisho kushiriki ujinga kama huu ilikuwa wakati nipo secondary school miaka ya tisini wajanja walikuwa wanatuchangisha pesa ya kwenda picnic Rungwe oceanic na wao wanachofanya ni kukodi coaster tu kule beach kila kitu mnajitegema wao wako na mademu zao tena siyo wanafunzi wanatumbuwa pesa zenu tu. unajuwa kipindi chetu ukianza form one wale form four tayari wana ndevu na tulikuwa tunawaamkia.
 
Hiyo elf 40,000 ni kwa ajil ya nin na nin tafadhal tupe muongozo
btw idea ni nzur sema iwe lin?
 

Ki ukweli kula bata batani ni raha...coz nimemiss haya makitu.... ya kwenye JF party
 
The Boss ukienda na me ntaenda ahhahhhhha
 
Last edited by a moderator:


Halafu mleta mada ndio bingwa wa kuweka sredi za naman hiyo......!!!

23 Julai 2014
https://www.jamiiforums.com/mahusia...ha-mmu-mademu-id-tu-hahaha-nimtaje-hahha.html

 

Hahahaha wacha mikwara bwaina!!!
 

Je yeye akizimika flag??!!!
Na hivi ni porini, atachukuliwa na ukizingua unakula nakoz!!!!

We jiandae naye kwa kishirikiana na yeye awe katika mood basi huo ndio muafaka la sivyo ntachukua namba na kuja kumalizana naye kitaa!!!!
 
Tuko pamoja ila fafanua hiyo amount ni nini na nini. Ili kila mtu afanye budget ua mahiyaji mengine.
 


Naona amount bila suggested date/days
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…