sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
yaani sungura1980 aibu tupu bepari zima anashindwa kumpa hela mkewe akanunue pichu jamani, aaaaah.....mateso haya pole sana The secretary kwa kuvaa pichu ya hurithi mpaka leo
ntakutumia kwa EMS kwa hiyo usijali.....naisubiria kwa hamu...nitaandaa sherehe ya makabidhiano, unataka kumualika nani
ubahili! Eti mnatonga na bajeti...... Thelaa!!!!
mi sivaagi kabisa
ya ninin kujipa joto nyetini
Lady doctor we umeanza kuvaa?
Mic test: Chupi.
Najaribu kuona kama nikiandika teitei correctly itawekewa videshdesh.
Haha... tutake radhi..
ngoja nitafute videshdesh nikuwekee hilo tusi ujue
Baby sis upo? Twende kwa dingi leo
Hehe nmekua nikishangaa kwann watu huandika kinyume nkadhan labda ni vile videshdesh hutokea.
Kumbe ni kukua kwa lugha jf...
Salama lakini shem??! Ile teitei yako yenye mifuko ya nyuma bado unayo??!
​mi sivai acha yawadondokee tu!!navaa ili kuzuia makalio yasidondoke pacha
ntakutumia kwa EMS kwa hiyo usijali.....
​mi sivai acha yawadondokee tu!!
Asante kwa kushea experience yako, hiyo nyingine mbona haikutoboka?? size gani?? XL, L, XXL au XXXL??ninazo mbili
moja imetoboka katikati
nilikua naifua sana
usihofu mkuu, it is a free kantri, unaweza tumia hiyo kama staili ya kutoka , kama yule jamaa wa singo batani, utakua mwanamitindo hodari..Daaah hiit tread imenifanya nicheke mpaaka baas, ila kumbuka hata uwe na pichu nzuri kiasi gani huwezi kuivalia juu ya suruali et kwa madai ionekane
​mi sivai acha yawadondokee tu!!