Pichu yako imetoboka??

Ninayo moja tu. Nafua usiku, Asubuhi inavaliwa.

Ni lazima ichakae ndipo ninunue nyingine.

NB:
Tofautisha kuchakaa na kutoboka.
 
ikitoboka naipeleka kwa fundi aiweke kilaka.....
 
mwaka wa ngapi huu, imetoboka wapi, na ina viraka vingapi?? utakua unaipenda sana..
imetoboka kila mahali na kila mahali kuna kiraka.....naipenda mana vilaka imeifanya pichu yangu kuwa unique......
 
ubahili! Eti mnatonga na bajeti...... Thelaa!!!!

Lady doctor.
Tatizo mnashindwa kutofautisha kati ya "Ubahili" na "Kubana matumizi".

Yanini kuwa na pichu nyingi wakati unavaa moja moja??.

Kwanza inakupunguzia majukumu, kwakuwa ipo moja hautopata usumbufu wa kuchagua ipi ya kuvaa.

Epuka matumizi yasiyo ya lazima.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…