Pichani - Wabunge CCM waliotia sahihi rasimu ya Zito kumwajibisha Pinda

WATETEZI WOTE WA MASLAHI YA UMMA HULINDWA NA 'NGUVU YA UMMA' NCHINI

Mkuu Okada,

Ondoa hofu maana ni bi bora ikeleweka ya kwamba kwa yeyote anyeonekana KUTETEA MASLAHI ya Umma wa Tanzania, ni juu yake huyo mtu sisi Umma wa Tanzania tumeweka wigo imara ya kuwlinda usiku na mchana hata wangali bado wko ndani ya CCM.

CCM UFISADI hii kamwe haina uhalali wa kiutawala mbele ya macho ya WaTanzania leo hii hivyo nakuhakikishia ya kwamba hadi hapo hakuna wa kumshungulikia mwingine kwa namna yoyote ile.

Watashughulikiwa hawa hadi watajuta!
 
Ni haki yao Kikatiba na hawazuiwi na mtu na isitoshe km baraza likivunjwa wiki hii wataonekana Wafalme kwani ni heri kuwa mbwa kiherehere ukatangulia mbele katika kundi la wanyama kuliko kuwa kondoo au tembo anayefunga msafara asiyejua kuna nini huko mbele tuendako
 
Hao ndo wameaga ubunge rasmi.

Siyo rahisi sana kwa jinsi "UPEPO" uvumavyo! Hata ikitokea, hawa wakirudi majimboni kwao kwa kupitia vya vingine (endapo CCM itawanyima nafasi), baado watashinda Ubunge.

My take: Kati yao Wabunge wa3 wanatoka mkoa mmoja, ni mkoa wa mashujaa wasiosita kusema ukweli.
 
Wanameremetaaaa
Wanaomeremeta ni deo filikunjombe, kangi lugola na mh mzee wetu mkono hao wengine ni wanafikintu hilo gazeti limewabeba tena walifuatwa sana na mh zitoo lakini walikataa kwa kuhofia chama chao cha magamba
 
Huyu mwanadada ni mbunge wa viti maalum, nafikiri ana ujasiri kuliko hao wanaume wa chama chake. MWISHO WA PONGEZI.
 
Watashughulikiwa hawa hadi watajuta!

Hawa wabunge waccm waliotia saini ile form ya Zitto wanaakili sana, kwani wanauhakika wa ubunge wao kwa muhula mwingine ujao!! They have bought themselves an insurance cover from Chadema come 2015 hata kama ccm watafanya makosa ya kuwafukuza chamani!!
 
Wameamua kwa utashi wao kuweka itikati kando na kutetea kilichowapeleka bungeni ambao ni wananchi waliowachagua. Wabunge ambao wanatetea matumbo yao na kujikomba kwa viongozi waandamizi serikali ndio wasaliti kwa wananchi waliowachagua.

Hi wanajamii forum, ikiwa leo ni mara yangu ya kwanza kuchangia katika safu hii ningependa kuwapongeza kwa michango yenu mingi iliyobeba hoja nzito.

kuhusu hili nawashangaa baadhi ya wabunge wa CCM ambao walijipambanua kama vinara wa kupambana na ufisadi wakiongozwa na Anne kilango Malechela na wenzake. Mbona hakuna hata mmoja aliyethubutu kutia saini ya kutokuwa na imani na PM? kumbe hawa wamevaa ngozi ya kondoo kumbe kiuhalisia ni mbwa mwitu!!!
 
SAM_1063.JPG


Picha hisani ya Mjengwa blog
HAWA NDIYO MASHUJAA WASIO NA UNAFIKI, UNAJUA KUNA WAKATI VITU VINAPIMWA KWA WINGI ILA KUNA VITU VINAPIMWA KWA UZITO WAKE. Kama tungeweka kwenye mizani ya kupima uzito wa watu wenye akili hawa ndiyo wenye akili na ndiyo wanaotakiwa. Wameutangazia Umma wa watanzania kuwa hawataki dhuruma, hawataki kupindisha haki na maslahi ya waliowengi. Mimi ni mwana-CCM na ninaowadhifa ambao nikiamua magazeti lazima yaandike ila Kusema ule ukweli wabunge ambao hamjasaini mmetusaliti sisi tuliowachagua na hili siyo usaliti kwa waliowachagua tu bali ni usaliti kwa chama maana sasa mmekiweka rehani. Hoja hii inatosha kuwapukutisha wengi mwaka 2015 kama siyo kuwamaliza kabisa.
 
Back
Top Bottom