Pichani - Wabunge CCM waliotia sahihi rasimu ya Zito kumwajibisha Pinda

Hawa tayari wamepita 2015 kwenye majimbo!Ila tu wagombee kupitia chama kingine sio chamagamba!Kampeni yao tumeiona natunaithamini.

Suala si kupita tena uchaguzi ujao, ila utekelezaji na uwajibikaji katika kipindi walipo bungeni kutetea wapiga kura wao.
 
wale vidomo domo wakina Sendeka, sitta na kilango sindiyo walitakiwa wawe wa kwanza kuunga mkono hoja?? wameamua kubariki ufisadi sasa baada ya kuona hata dalili za unaibu waziri hamna.... kupambana na ufisadi yataka moyo hasa ukiwa Chama Cha Majambazi
 
sam_1063.jpg
picha hisani ya mjengwa blog

jamani wengine tunatumia simu..majina yao wote tafadhali..ukitoa lugola,mkono na filikujombe..hao wengine akina nani?
 
Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni, pamoja na vitisho vyote walivyotishiwa hadi uhai wao kuuweka rehani kwa ajili ya kuunga hoja ya Zito kabwa wanastahili pongezi na kutiwa moyo kutorudi nyuma kwa ujasiri waliofanya. Lets be fare

Kweli ni kazi waliyotumwa lakini mazingira ya kisiasa ndani ya CCM yanawazuia wabunge wengi kutekeleza wajibu wao. Hawa wameonesha ujasiri wanastahili pongezi.
 
wale vidomo domo wakina Sendeka, sitta na kilango sindiyo walitakiwa wawe wa kwanza kuunga mkono hoja?? wameamua kubariki ufisadi sasa baada ya kuona hata dalili za unaibu waziri hamna.... kupambana na ufisadi yataka moyo hasa ukiwa Chama Cha Majambazi

Siku zote mimi niliamini kuwa hao ni wapambanaji wa kweli, lakini katika suala hili wameonesha kuwa wao si wapambanaji halisi bali ma opportunists wenye maslahi binafsi
 
sidhani kama chama kitakuwa sahihiu kuwawajibisha,kwa wakilifanya watakuwa wamewapa credit kwa wananchi
 
Siku zote mimi niliamini kuwa hao ni wapambanaji wa kweli, lakini katika suala hili wameonesha kuwa wao si wapambanaji halisi bali ma opportunists wenye maslahi binafsi

Mimi siku zote nilikuwa nawaambia watu kuhusu unafiki wa kundi hilo....nadhani sasa kila mtu ameona ukweli...kama Mwakyembe, Sitta , Kilango et al, wasingekuwa wanafiki Richmond isingeisha kiubabaishaji vile... ndo maana wamembabua ngozi kwa unafiki wake wa kuficha siri.
 
Hivi ni kwa nini tnawafanyia mzaha na kuwakejeli hawa wabunge shupavu badala ya kuwapa courage?? Hivi tunauchungu kweli na haya yanayofanywa na viongozi na watendaji wa serikali??? Guys let us be serious if we really want to change this!!
Hao ndo wameaga ubunge rasmi.
 
hivi mwakyembe hakupigaga!!?? better die fighting against injustice than die like rat in a trap
 
Back
Top Bottom