Pichani - Madiwani wapya waliochagulia Jumapili Arusha

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
lemanamadiwani.jpg

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (katikati) akiwa na madiwani wapya wa Chadema waliochaguliwa juzi.
Kutoka kushoto mstari wa mbele ni

  • [*=4]Diwani - Jeremiah Mpinga (Elerai),

    [*=4]Diwani - Edmund Kinabo (Themi),

    [*=4]Mbunge - Godbless Lema (Arusha Mjini)

    [*=4]Diwani - Kessy Lewi (Kaloleni)

    [*=4]Diwani - Rayson Ngowi (Kimandolu).

Hawa ndio madiwani wapya waliochaguliwa na wananchi wa Arusha Juzi Jumapili na kuibamiza CCM ukutani bila huruma kisha Naibu Katibu Mkuu Mchemba kulitoroka jiji la Arusha kama Nzee Nkapa alivyotoroka alipokuwa kokoto tu kwa dogo tundu na janja Mbunge Nasari aliposhinda Arumeru Mashariki.
 
tuwaombee ujio wake uchangie kubadilisha jiji lisonge mbele kimaendeleo.
 
magwanda kwa kupenda ujiko, huo ubunge waliutolea wapi?
 
Asante kwa taarifa, ila headline haijakaa sawa tafadhali badili
 
Lini watakula kiapo cha kumtii na kumtumikia Lema?
 
Huyo Jeremih Mpinga ni Noma nilimuona ITV anashusha Mkwara kwa polisi, Yani noma hadi Mtangazaji ITV alibaki Kucheka.
 
Tuone maendeleo sasa tusifurahie tu kwa wao kupita.Pipozz power

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Muwe mnashinda udiwani na maeneo mengine basi kama Dodoma, Morogoro, Songea, Pwani. Mbona nyie ndugu zetu ujanja wenu unaishia Arusha na Kilimanjaro tu? Watu wanaanza kuhisi hicho chama bila wachagga na waarusha hamna kitu kabisa.
 
Hata kata ya IYELA iko Arusha na Kilimanjaro kwa mujibu wa jiografia ya Lumumba. Leo lazima upewe buku mbili badala ya saba
 
Muwe mnashinda udiwani na maeneo mengine basi kama Dodoma, Morogoro, Songea, Pwani. Mbona nyie ndugu zetu ujanja wenu unaishia Arusha na Kilimanjaro tu? Watu wanaanza kuhisi hicho chama bila wachagga na waarusha hamna kitu kabisa.

Radhia Sweety,uwezo huo hawana ndio maana wakaamua kuja na sera ya kujigawa kimajimbo.
 
Sio kumtumikia Lema ni kuwatumikia wananchi kwa ukweli na uwazi ambao CCM wanataka uondolewe kwenye katiba mpya!

Kama wanahamu ya kuchezea mitama ya uzeeni wapingane na Lema
 
lemanamadiwani.jpg

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (katikati) akiwa na madiwani wapya wa Chadema waliochaguliwa juzi.
Kutoka kushoto mstari wa mbele ni

  • [*=4]Diwani - Jeremiah Mpinga (Elerai),

    [*=4]Diwani - Edmund Kinabo (Themi),

    [*=4]Mbunge - Godbless Lema (Arusha Mjini)

    [*=4]Diwani - Kessy Lewi (Kaloleni)

    [*=4]Diwani - Rayson Ngowi (Kimandolu).

Hawa ndio madiwani wapya waliochaguliwa na wananchi wa Arusha Juzi Jumapili na kuibamiza CCM ukutani bila huruma kisha Naibu Katibu Mkuu Mchemba kulitoroka jiji la Arusha kama Nzee Nkapa alivyotoroka alipokuwa kokoto tu kwa dogo tundu na janja Mbunge Nasari aliposhinda Arumeru Mashariki.

Nilijua ni vijana. Kumbe ni wazee kabisa, mmh! Kuweni makini ili msichezee vibao vya Kamanda.
 
Back
Top Bottom