Pichani - Madiwani wapya waliochagulia Jumapili Arusha

Pichani - Madiwani wapya waliochagulia Jumapili Arusha

Ujana maji ya moto, sijui sasa hawa wazee CCM nao itawanunua?

lemanamadiwani.jpg

​
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (katikati) akiwa na madiwani wapya wa Chadema waliochaguliwa juzi.
Kutoka kushoto mstari wa mbele ni
​

  • [*=4]Diwani - Jeremiah Mpinga (Elerai),

    [*=4]Diwani - Edmund Kinabo (Themi),

    [*=4]Mbunge - Godbless Lema (Arusha Mjini)

    [*=4]Diwani - Kessy Lewi (Kaloleni)

    [*=4]Diwani - Rayson Ngowi (Kimandolu).

Hawa ndio madiwani wapya waliochaguliwa na wananchi wa Arusha Juzi Jumapili na kuibamiza CCM ukutani bila huruma kisha Naibu Katibu Mkuu Mchemba kulitoroka jiji la Arusha kama Nzee Nkapa alivyotoroka alipokuwa kokoto tu kwa dogo tundu na janja Mbunge Nasari aliposhinda Arumeru Mashariki.

Mwigulu hata humu javini aliomba apingwe ban...
 
Sasa tunataka wao kama ni kupigana, wapigani kwenye vikao vya Council maana kwenye upishani ndio kuna maendeleo ila watuhakikishie maendeleo!
 
Baada ya wananchi kuwaamini na kuwapa ushindi kazi ni kwenu, ama mlewe sifa na ushindi au mpige kazi kwa faida ya wananchi woteeeeeeeeeeeeee hata wa CCM.
 
Muwe mnashinda udiwani na maeneo mengine basi kama Dodoma, Morogoro, Songea, Pwani. Mbona nyie ndugu zetu ujanja wenu unaishia Arusha na Kilimanjaro tu? Watu wanaanza kuhisi hicho chama bila wachagga na waarusha hamna kitu kabisa.

kuwa demu wangu nikusaidie kupunguza stress , nasubiria PM yako Bidada.
 
Muwe mnashinda udiwani na maeneo mengine basi kama Dodoma, Morogoro, Songea, Pwani. Mbona nyie ndugu zetu ujanja wenu unaishia Arusha na Kilimanjaro tu? Watu wanaanza kuhisi hicho chama bila wachagga na waarusha hamna kitu kabisa.

Nadhani mikakati inaendelea nchi nzima. Kwa kifupi Arusha na Moshi wafanyabiashara ni wengi ambao wamechoshwa na mfumo dhalimu wa serikali ndo maana unaona muamko mkubwa sana kuliko maeneo mengi. With all due respect hao ndugu zetu wengine wengi elimu ndogo na wananunulika kirahisi kwa buku 7 fanya tafiti huru utagundua

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Muwe mnashinda udiwani na maeneo mengine basi kama Dodoma, Morogoro, Songea, Pwani. Mbona nyie ndugu zetu ujanja wenu unaishia Arusha na Kilimanjaro tu? Watu wanaanza kuhisi hicho chama bila wachagga na waarusha hamna kitu kabisa.

Kanda ya Ziwa Je (Mwanza, na Musoma), pia Kigoma??? Au huna taarifa?
 
Piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Majitu majinga humu sasa wakuipa kura dodoma moro ni nani kama siyo wananchi wenye kutaka mabadiliko?arusha wameonyesha njia na wengne waige mfano huo maeneo waliyoko ili Cdm ipate ushindi kote
Changes ni mimi na wewe
 
Radhia Sweety,uwezo huo hawana ndio maana wakaamua kuja na sera ya kujigawa kimajimbo.
Kumbe hata Ilemela, Mpanda, Mbeya, Iringa kote huko ni kanda ya kaskazini.. hahahahaha, utu uzima bwana unapimwa kwa vigezo vingi..
 
Back
Top Bottom