Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,517
- 4,987
Who cares?jamani hii si sawa...! Watu watanzania waishio Kigoma wana haki kufanya wanachokiamini. Kama wanachokiamini hamkubaliani nacho ni jukumu lenu kuwaelimisha waamini vinginevyo tena kwa lugha ya staha. Mnachokifanya ni kuongeza chuki ambazo hazisaidii kamwe kuimarisha umoja wa watanzania.
Ebu waelimisheni watanzania wenzetu hawa wajitambue kwa namna ambayo inaimarisha umoja wa Watanzania wote.
Nina imani Nicholas utaniunga mkono katika hili.