Picha: Zitto atikisa KASULU, Mkutano wa hadhara

Status
Not open for further replies.
Zitto alialikwa na CDM Kasulu, amekwenda kama mualikwa.

Source: Katibu wa CDM Kasulu.

Mod futa hii thread.
 
Muda huu mapokezi mazito ya Mbunge wa Kigoma kaskazini Mh Zitto Kabwe yanaendelea kuelekea Viwanja Kiganamo hapa Kasulu,Mapokezi ni mazito sana,hakika amefutilia kabisa nyayo za Slaa ambaye alipigwa mawe na Wananchi hapa Kasulu akakimbia na Mkutano kuvunjika.Kutoka Kigoma Mjini hadi KASULU ni KILOMITA 95,Lakini Zitto anakubalika KASULU kuliko hata Mbunge wa NCCR ndio maana Slaa alishughulikiwa kwa sababu anaua Kipaji cha Kijana wao,Mbunge wao,mwanasiasa machachari zitto Zubery Kabwe
Huu ni mwendelezo wa Kuzungumza na Wanakigoma hususani mwenendo wa Siasa zake ZItto Kabwe ndanai ya CHAMA,Mabilioni ya Uswis na Nguvu ya mafisadi wanavyotaka kuhodhi hoja hiyo,Pia yeye akiwa Mbunge wa Kigoma ni haki yake ya msingi kabisa anaitumia kutoa taarifa ya kile kinachoendelea dhidi yake hususani Kuvuliwa Vyeo vyake ndani ya chama bila kufuata misingi ya katiba ya chama(Kupewa Mashitaka kabla,Kuhojiwa Kabla,Lakini kinyume chake amehukumiwa ndipo Mashitaka yakafuata na anaambiwa ahojiwe).
Mamia ya Wananchi wameshafika kwenye viwanja hivi vya Kiganamo tayari kwaaajili ya kupokea msafara za Mh.ZItto ukiwa na zaidi ya pikipiki 130,na kwa muda huu yupo ofisi za chama hapa Kasulu kwaajili ya kusaini kitabu cha wageni.

UPDATES zote nawaletea

Picha tatu za juu ndio Muda huu watu wanamiminika kwenye uwanja wa mkutano,ZITTO YUPO JUKWAANI MUDA HUU
1533968_635967556465319_1627702990_n.jpg
1507044_635967833131958_1665074636_n.jpg


Mh.Zitto Kabwe akiondoka Kasulu,Amezungumzia kuhusu NAMNA CHAMA KINAVYOMSURUBISHA KWASABABU YA HOJA YAKE YA MAHESABU KWA VYAMA VYA SIASA,Mabilioni ya Uswis Na Uwajibikaji wa Viongozi wa serikali pamoja na Wa vyama Vya siasa.\
1517687_635968186465256_2040932471_n.jpg


Kes HERI wana Kasulu,Nitakuja tena kuzungumza nanyi katika jambo lolote lile kabla ya hatua yoyote ile sijaichukua katika Maisha yangu ya siasa.MM ni mtoto wa mama Maskini,Baba Maskini na rafiki zangu ni watu Maskini.
Ninamalizwa na chama changu kwa sababu ya POSHO,NIMEKATAA POSHO LAKINI WAONAO UMIA NI WENGINE.
1488076_635968409798567_1683907156_n.jpg

1536517_635967453131996_339523781_n.jpg
1533968_635967556465319_1627702990_n.jpg


1505517_635947776467297_344147048_n.jpg

Zitto anahutubia maelfu ya wananchi
944818_635947936467281_245694495_n.jpg

1524668_635948049800603_1307909936_n.jpg
1471207_635948473133894_2123696892_n.jpg


Pia zitto Kabwe amesimikwa hii leo Kuwa MWAMI na wazee wa kasulu
1503830_635947189800689_981053619_n.jpg


993807_635919699803438_203380350_n.jpg

Mamia ya wananchi wakimiminika kwenye uwanja wa Mkutano hapa Kasulu
1510676_635967523131989_623107111_n.jpg

1505517_635947776467297_344147048_n.jpg

549177_635932089802199_967010886_n.jpg

1520796_635919829803425_473432682_n.jpg


Mambo ndio hayo KASULU MUDA HUU

1476448_635919576470117_795054092_n.jpg
994100_635853613143380_559515885_n.jpg

Mh.Zitto Kabwe akiwashukulu sana Wanakasulu kwa namna walivyojitokeza kwenye mapokezi hapa kasulu
1476039_635853656476709_2088264420_n.jpg

Ni maelfu ya Wananchi wapo kwenye maandamano ya kumpokea Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh.Zitto kabwe.
1521242_635853139810094_1170757926_n.jpg

Picha inazungumza wazi namna Msafara ulivyomkubwa sana na umejaa vijana,akina mama na wazee pamoja na watoto wanaotoa sapoti ya kutosha kwa MH.Zitto Kabwe
936571_635853366476738_78877762_n.jpg


Maduka Yamefunga watu wote wanaelekea eneo la Mkutano,Hii ni wazi Zitto ni mtu wa watu,Ni mbunge anayekubalika Kigoma na Tanzania

1536517_635967453131996_339523781_n.jpg
1463907_635852493143492_1440781628_n.jpg

nn
1479464_635852003143541_1635854175_n.jpg
1012837_635851496476925_562161701_n.jpg

Ushishangae kuona kwenye msafara huu Mkubwa hapa Kasulu Pia hakuna Bendera za chadema,zaidi utaiona moja moja,Ni kwasababu wanakigoma wanasema "ZITTO NI MBUNGE WA KITAIFA,MTETEZI WA WATANZANIA,ZITTO KWANZA,CHADEMA BAADAE"
1495498_635849293143812_1654243089_n.jpg

Mambo yapo hivi hapa Kasulu
1512571_635849173143824_415978012_n.jpg


Waandishi wa habari pia wapo wengi sana kwaajili yakuchukua matukio na habari
1472824_635848509810557_1351096025_n.jpg

mm
1476368_635848719810536_771672469_n.jpg

\mm
999908_635844929810915_713382822_n.jpg


j
1538759_635845076477567_1203692845_n.jpg

Asanteni wanakigoma

1510559_635872483141493_136205733_n.jpg

Moja ya Mbango katika mapokezi ya Mh.Zitto Kabwe hapa Kasulu alipopigwa mawe Dr.slaa na kukimbia
1511291_635872549808153_1902474604_n.jpg

Vijana wanatoa sapoti ya Kutosha kwa Mbunge wao zitto
1390639_635872616474813_558400031_n.jpg


UJUMBE WA CHADEMA"Demokrasia Itashshinda Dhidi ya UHAFIDHINA"

999937_635872293141512_1138428216_n.jpg


Vijana wakiwa wamejipanga kumpokea Zitto kwenye Vijiji vya Kwanza Kwanza kabla huja fika Kasulu Mjini KM.2 nyuma.
1512754_635872809808127_1974352700_n.jpg

Mambo ndio haya,Wanasema NABII HAKUBALIKI KWAO? Zitto ametikisa Kigoma

Crashwise na Hii linganisha pia.
 
Last edited by a moderator:
Nimeangalia picha zilizowekwa kwenye post ya kwanza ya uzi huu...nilichogundu kwenye nyuso za wananchi waliohudhuria zinaonyesha kabasa kuwa wanamsikitia sana mbunge wao, hawana nyuso za matumani. Kitu ambacho kinawasikitisha sijakijua bado....!?
 
Mwambie akafanye mikutano 26 jimboni kwake aliyoahidi kuifanya baada ya kuwekwa kitimoto na kamati ya jimbo akaishia kufanya mmoja tu.

Mwambie awape wananchi wa Nyarubanda Fuso alilowaahidi.
 
Ulikuwa hujui, baada ya kusoma alama za nyakati alishakubaliana na Serukamba wabadilishane majimbo 2015? Ndio maana sifa kwa wana ujiji (wabware) zilikuwa kemkem.
 
Napenda kumpongeza mh zitto kwa ziara aliyo ifanya jimboni kwake hivi karibuni.ni suala la hekima kwa mbunge kukutana na wapiga kura wake.maana ni katika mikutano hii wananchi hupta nafasi ya kumweleza kero zao mb wao na yy kuwaeleza maendeleo/changamoto za ahadi zake.Lakini nashangaa kuona ziara hiyo ikiendelea hadi jimbo lasulu.ninashangaa kwa sababu ,
1.zitto so mbunge wa kasulu kilicho mpeleka huko nini?
2.je alienda kujenga chamachake?
4.kama alienda kujenga chama alienda kama nani ndani ya chama maana nijuavyo mimi zitto ni mbunge tu ndani ya chama nasivinginevyo.
5.hata kama alitumwa kujenga chama mbona kadi hakuuza hata 1?na cha ajabu zaidi ni hutuba aliyotoa kigoma,hakuna mahali inapohamasisha watu kujiunga na chama chake(chadema)zaidi yakutka kuonewa huruma na wana kigoma.nasema hivi kwa sababu ukiisoma vizuri ile hotuba kwa namna fulani mh zzk anataka kuwa aminisha wanakigoma kwamba wao wote wanachukuliwa kama wahaini ndani ya chadema,jambo ambalo sila kweli.haiwezekani muha 1 akiwa mwizi wote waonekane wezi.leo anaanza siasa za kikabila kesho ataanza kabila za kidini.ni vema mh zitto akajikita kwenye tuhuma zinazomkabili au kwenye shughuli yake yakibunge.maana ziara yake imeonyesha dhairi kuwa haikuwa na lengo lakujenga chama au kukagua maendeleo kwenye jimbo lake.hii ni ziara iliyikuwa na malengo binafsi ya zitto kisiasa.napenda kumkumbusha mh zitto kuwa kwenye mchezo wa siasa hakuna sare, kwa maana kati yako zitto na chama chako(chadema).katika vita hii je wewe unaweza kuwashinda?kama huwezi ungana nao kaa kimya.vinginevyo unajiangamiza kisiasa.inachukua muda mrefu sana kwa mtu kujijengea uaminifu bali uchukua sekunde chache sana kuupoteza.TAFAKARI CHUKUA HATUA.mods naomba kwa heshima kubwa uzi wangu msiufute haraka.wasalaaam
 
Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza mh zitto kabwe mbunge wa kigoma mjini kwa ziara aliyoifanya jimboni kwake hivi karibuni.ni busara na uwajibikaji mkubwa sana kukutana na wapiga kura wako yaani unaowawakilisha.kwa kufanya hivyo unawapa fursa wapiga kura wako kukueleza matatizo yao na ww kuwapa taarifa ya maendeleo ya ahadi zako.lakini kinacho nishangaza ni kitendo cha ww kufanya ziara kwenye jimbo la kasulu nashangaa kwa sababu zifuatazo ,
1.jimbo la kasulu sio lako
2.kwanini ufanye ziara kama mbunge kwenye jimbo lenye mbunge kama wewe?
3.je kuna mbunge yeyote amewahi tembelea jimbo lako kama mbunge wakati ww mwenye jimbo upo bungeni?
4.inge kuwa nikipindi kile ulipo kuwa naibu katibumkuu wa chadema ili kuwa sawa maana ulikwahuna mpaka.
Vilevile nimefuatilia sana hotuba yako jimboni kwako hakuna mahala umeongelea maendeleo/matatizo ya jimbo lako.hotuba yako kwa kiasi kikubwa ililenga kutaka kuhurumiwa na wanakigoma,pia kuwa aminisha kua wanakigoma wanapigwa vita ndani ya chama chako jambo ambalo sila kweli .haiwezekani kosa la mwana kigoma mmoja liwe la wanakigoma wote.mbinu hiyo kwenye siasa ni chafu maana unajenga hisia mbaya sana kwa wanakigoma juu ya ushiriki wao kwenye siasa za nchi hii kupitia vyama wanavyovipenda.leo umeanza na siasa za kimkoa na kikabila,je nikitu gani kitakachokuzuia kuanzisha siasa za kidini?je huoni kwamba kwa kufanya hivyo unakosa sifa za kuwa kiongozi wa umma?.maana hata apo kigoma unapoongelea uhaa si waha tu waliokupigia kura bali hata watanzania wa makabila mengine waishio walikupigia kura .mwisho napenda kukumbusha kuwa mchezo wa siasa hauna sare la zima mshindi apatikane kati yako ww na chamachako je utaweza kuishinda chadema tafakari chujua hatua.MODS NAOMBAKWA HESHIMA KUBWA UZI WANGU MSIUFUTE HARAKA.nawasilisha.

Wee ni mbumbumbu sana,

Mosi, hujuwi kuandika kabisa huna paragraph wala capitation! Yaani aheri ya jongoo kuliko wewe! Umekalia majungu mtoto mdogo nenda kasome bado una mda!

Pili, hujuwi unachokinena na wala unachokiamini! Siku nyingine kabla hujaanza kuandika basi sio vibaya ukajiridhisha pande zote pasi na Shaka ndio ukaandika. Itakusaidia sana kuandika Vitu timilifu na vyenye upana mkubwa!

Tatu, kazana na degree yako bado una muda wa Kijirekebisha! Elimu kwanza siasa baadaye!
 
Hichi kinachofanyika ni utoto!Agenda ya Zitto ilikuwa inapigiwa CHAPUO sana na CCM.CCM walikuwa wanafurahi sana kuona CDM inavurugika.Ila imethibitika wameshindwa vibaya.Hivyo sishangai kuona watu wengi,pengine ni ma-CCM wamejipanga ili tatizo liendelee kuwa kubwa.Kwa bahati mbaya Mh.Zitto naye kajichomeka,kafuata upepo.Ndo maana nilishawahi kusema Zitto Kabwe HANA upeo mkubwa wa kuchanganua mambo!Vitu vingi anachomekewa na yeye anakubali tu.Niliwahi kusema pia Zitto hata ile nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu ilikuwa kubwa sana kwake na alikuwa anapwaya sana ukilinganisha ni vijana wengi walioko Chadema.Zitto anastahili kuelimishwa kwa taratibu juu ya maadili na miiko ya uongozi,bado ni kijana mdogo.Siasa za namna HAZIMFIKISHI popote,na wanaomtumia wanalijua hilo.
 
Watanzania tukubari kutofautiana kimawazo na kimtazamo, inasikitisha kuona baadhi ya watanzania kuwatukana km si kuwadhihaki wananchi wa Kasulu Kumpokea Zito Kabwe, wananchi wana makosa gani kumpkea zito Kabwe? km zito ana makosa ai viongozi wa Wilaya au mkoa wnaanchi wanahusika vipi? MBONA MZEE WA VIJISENT ALIPOKEWA KM SHUJAA HUKO SHINYANGA WAKABTI ALIKWAPUA PESA ZA WALALA HOI na hajawahi kukamatwa au kuhojiwa. MBONA MHESHIMIWA LOWASA ALIPO JIUZURU alipokea kama shujaa jimboni kwake? Kwa mtingo huu wa wananchama wa CDM kuwatukana wananchi wa Kigoma kisa kumpokea Zito halikubariki na ukosefu wa uvumilivu kwa watu wanaotofautianana na mtazamo wenu.

Tujifunze CCM mbona wananchama walipo tofautiana hawakufukuzana nakumbuka kundi la akina NAPE, SITA NA wengine walipoanzisha CHAMA CHA JAMII CCJ wahakufukuzwa ndani ya chama? CDM tujifunze kuvumiliana na kutofautiana, pia tuache matusi.

Matusi km haya hapa chini siyo sahihi kwa wananchi wa Kasulu, tunaomba moderator mchukue hatua stahiki kwa dhihaka badala ya kuchangia hoja ya kisiasa km uzi unavyoelekeza.



1\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.png
By fikirikwanza
umenena vema mandela wa kg, hilo hakuna mtu anaweza kuwakataza wanakg, lakin kg ni nini hasa hapa tz??? Tuanze na kummuuliza mwalimu??? Aliwahi kusema hivi wananchi wa kigoma mkigoma ninamgomea nani??? Alijua kg haina cha kumuumiza mtz mwingine au ninakosea???. So leo nikiamua funza awe malikia wenu vile kila kidole amekugusa ni hiari yenu wanakg, ruksa hiyo ni awamu ya pili.

Awamu ya tatu, alisema watz ni wavivu wa kufikiri, ukweli wavivu namba 1 ni mkoa wa mwisho kimaendeleo ambapo uktaja kg haikosi ilo orodha, huwezi sema mwanza au dar u arusha ni wavivu wa kufkiri wakati maendeleoo yanaonekana. Wavivu wakufikiri watakuwa kg na wenzake

awamu yanne niseme????? Kwanza tutafakari hayo juu. Jk alipuuza hata kupiga kampeni kg kaskazini maana alijua mbulula zitampigia kura tu, kama unabisha angalia kura alizopata kg wakati hakupiga kampeni

sasa ukiona leo wanashangilia mtuhumiwa wa usaliti bila kuhoji, ni yaleyale ambayo wakuu waliyaona siku mingi sana


Nimesoma nao wengi sana ila nadhani upstairs huwa kuna shida fulani!!!!!![/Q

C:\Users1\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image003.png

Nicholas
Yesterday 14:51
#98

BannedArray
Join Date : 7th March 2006
Posts : 11,256
Rep Power : 0
Likes Received
2602
Likes Given
4945
C:\Users\VBENJA~1\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image006.png
re: Picha: Zitto atikisa KASULU, Mkutano wa hadhara

hakuna watu hapo..ni upigaji picture tuu,na wengine hawaendi hata meter 100,wanarudi ktk shughuli zao.

ILA KIGOMA IMECHAKAA..KWELI LAANA YA KUUZANA UTUMWANI NA UCHWAI NI MBAYA..hakuta tena glory kigoma baada ya bishara haramu ya utumwa kufa,hata chumzi na dagaa, madini na kila kitu havijawaweza ibadili,zaidi ya Hela za watu wa nje..tena si hata waarabu waliowanunua watu wao...wala CCM iliyowanunua wanasiasa wao.


C:\1\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image003.png

The Stig
Yesterday 18:15
#208

JF Senior Expert MemberArray
Join Date : 11th April 2011
Posts : 503
Rep Power : 541
Likes Received
217
Likes Given
56
C:\Users~1\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image006.png


C:\Users\~1\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.png
By lutayega
Haijawahi kutokea hapa kasulu mjini. Umati ni mkubwa sana, kwa kigoma zitto ni zaidi ya cdm na kama wakimfukuza cdm itakufa kigoma
Naishauri chadema iachane na kigoma. Hata taifa la Marekani kuna majimbo yanajulikan ni ya red (republican) na blue (democrat). Siyo lazima kila mkoa uwe wako ili ushinde uchaguzi wa kitaifa. La muhimu ni kujoipanga kwenye mikoa kama mwanza, shimiyu, mbeya, dar, tabora, moro, iringa, kili na arusha.
 
Siyo kwa watanzania wa Kasulu tu...kwa watanzania wote. Kutukanana hakujengi umoja wa watanzania. Tuheshimiane.
 
acheni ujinga, mbona Nalaila kiula alipovurunda akatimuliwa hakupokewa kwao kwa mbwembwe.
 
Kigoma haijawahi kuwa kambi ya CDM. Kigoma ni kambi ya NCCR Mageuzi siku zote. Kigoma CDM imenyakua jimbo moja tu ambalo hata ikilipoteza ni afadhali kuliko chama kiparanganyike.
 
Wana jamii inasikitisha sana watu wana tukana matusi tena machafu, eti watu wa Kigoma wana matatizo kwenye ubongo km alivyoandika mdau hapo chni kwa kutumia tafsida, kisa kumpokea Zito kabwe. ati ulisoma nao wana matatizo upstairs (kichwani) nani ana matatizo Kichwani kati ya wana Kgm na wewe? mbona wananchi wa Monduli walipomokea mwizi Lowasa au wananchi wa jimbo la Andrew CHENGE hamkuwatukana kuwa hawana akili vichwani? tatizo mnataka watu wote wawe na mawazo sawa km nyie. [/Q

Hhahahaaaa mkuu, unanitafutia ban tu, well sikuzuii kuelewa unavyotaka kuelewa kwani "no matter what a person says, people will hear and understand what they want to hear/ understand" Umeamua kutafsiri verbatimly ili kujenga hoja siyo?

Take it as you wish, as for me..... I'll always be here!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom