PICHA ZINAZOKUFANYA UHUZUNIKE KAMA SIO KULIA.

directa

Senior Member
Jan 27, 2017
102
150
mtoto ana subiri kifo kimchukue, wakati Tai akisubiri. Picha hii ilileta tetemeko duniani. na ilimpa Tuzo mpiga picha Kevin Carter mwaka 94. mpiga picha amejizolea umaarufu kwa kuchukua picha za namna hii, kitu kilichomfanya ajiue. na kuacha kinote "I am haunted by the vivid memories of killings and corpses and anger and pain ... of starving or wounded children, of trigger-happy madmen, often police, of killer executioners."
main-qimg-6d519957f40587c75e45cc29109ad5cd



2: mauaji ya rwanda. hizi nyayo za damu ni za watito, waliokuwa wakijaribu kikimbia mauaji ya kuchinjwa, yaliyo ua wenye uhai 800000.
main-qimg-89ddd4a184e865a1abf6796cc19174ac


3: kifo cha alan kurdi, mtoto wa ki syria. akiwa amepoteza maisha kwa kuzama majini wakati wakikimbilia Europe, macho ya wa mamillioni yalitiririka machozi. na kufanya mamlaka husika, na dunia nzima kwa ujumla kutupia jicho swala hilo la wakimbizi nchini syria.
main-qimg-5f4277eef1cab191d94fa9505dc1efbf-c



4: huyu mbwa alisubili, master wake kwa miaka kumi katika kituo cha station akitumaini kuwa atarudi kumchukua. lakini haikutokea hivyo. Hachiko anakumbukwa kwa ustaimilivu wake pamoja na uaminifu. is still remembered for his loyalty and perseverance. hadi waka mfanyia movie. Hachi: A Dog's Tale (2009)
main-qimg-1dcb7c82ccf6f16db964f7c70b0063e7-c



5: Hii picha ilifanya dunia itoa machozi. mtoto wa ki syria, Hadi hudea akiwa amesarenda kwa mpiga picha, baada ya kudhani kuwa camera ya huyo mpiga picha ni bunduki.
main-qimg-1967cf24589ca115952c4741a4e34d72-c



6: kijana wa kihindi, amening'inia kwenye waya wa nguzo ya matangazo. baada ya mto Ganges kukumbwa na mafuruko. sijui alipona
main-qimg-e0a2ec3e8f93b11ffddd19deaeba5104-c



7: A mother holding her child who died because of hunger in Somalia.
main-qimg-be5710bf210aa64183cf1a645f580ed6


8: wanyama hawa wamewekwa kwenye zoo lakini. wanamiis sana kwao, cheki wanavyo tazama hizo picha zinazoonyesha ualisia wa mazingira walipotokea.
main-qimg-8d554a565e53c7940f943c4abb207652-c


9: macho yaliyoshuhudia janga la nuclear huko hiroshima.
main-qimg-41f36634e33e9e61f7b7b9aadb7e5874-c


10: bibi wa miaka 94 amepokea mabaki ya maiti ya mumewake aliyekufa vitani. baada ya miaka 60
main-qimg-fbf65378e00ce8d14bd2c513a261dc79-c

kwanini hata wamemletia hii taarifa?
 
Unapotaja maneno ya "opposition leader" usiwe na fikra ya hao waliopo sasa, angalia opposition ya miaka 25-30 ijayo kama itakavyokuwa kwa umri wa huyo mtoto, waweza kuta utakuwa mmoja wao!

the guy was just trying to be funny
 
Kuna ile waliileta humu ya kule india baba alibeba maiti ya mkewe na kutembea nae kwa miguu baada ya mke kufa kwa kukosa huduma hospitali. Cjui ilikuwa uongo au kweli,ila picha ile ilihuzunisha sana.
 
Back
Top Bottom