Duh ccm bwana...yaani KInana anahusika na kutoa leseni za uchimbaji migodini???
Ngoja na mimi nikamwombe leseni ya kuvuna mikoko kabla kipindi hiki cha utoaji leseni hakijaisha.
Duh ccm bwana...yaani KInana anahusika na kutoa leseni za uchimbaji migodini???
naambiwa watu walikuwa kiduchu wengi walikuja kwa mabasi ya mwenyekiti wa mkoa aitwae msukuma na watumishi ndio maana anaona style ya picha zilivyopigwa ....watu walifuata ngoma namziki tu hapakuwa na jipya ni ahadi tu .....yaani hata mkutano wa diwani sio hivyo
Wananchi wanachooitaji ni Maendeleo . Na maendeleoni Barabara ,shule na huduma za afyatuhuma walizonazo ni kubwa mno shida ninayoiona kwa chama cha mapinduzi wanajifanya hawasikii, kwa mtu mwenye akili za kawaida abisa angeanza kujibu tuhuma mbalimbali, hoja za chama cha mapinduzi nje ya kujibu tuhuma mbalmbali walizonazo ni kujidanganya tu. epa, utoroshaji wa wanyama, hai mabilion uswisi na kashfa nyingine nyingi zinahitaji majibu ya kisheria sio ziara za kichama. majibu ya tunajenga barabara hospitali na kadhalika hayawezi kuhalalisha wizi wa mali za umma unaofanywa na uliowahi kufanywa na viongozi wa ccm
Kwani Katibu mkuu wa CCM ana mamlaka yapi kisheria ya kutoa leseni za uchimbaji madini? Ni sheria ipi imempa mamlaka hiyo? Na kwanini wawagaiwie sasa? Kweli nchi hii bado ina wadanganyika wengi sana.
Wananchi wanachooitaji ni Maendeleo . Na maendeleoni Barabara ,shule na huduma za afya
Kwani Katibu mkuu wa CCM ana mamlaka yapi kisheria ya kutoa leseni za uchimbaji madini? Ni sheria ipi imempa mamlaka hiyo? Na kwanini wawagaiwie sasa? Kweli nchi hii bado ina wadanganyika wengi sana.
Ule usemi wa CCM kuwa ukitaka kufanya biashara jiunge na CCM sasa unatimia.
Hata hivyo suala hili la chama cha siasa kukabidhi leseni kwa wafanyabiashara ni aina ya rushwa na pia inapelekea wafanyabiashara kutumia chama cha siasa kukwepa kodi, kutoa rushwa , kuzalisha bidhaa feki kama ARV- Feki n.k
Pia naamini ni kinyume cha sheria kwa kiongozi wa chama ambaye si mtendaji - kiserikali (waziri, meya, diwani) kama alivyo Abdulrahaman Kinana kufanya kazi za taasisi ya serikali.
Baada ya Machinga Kutambua chchm hawana mchango wowote kwao wala hawakujisumbua hata kusimama kuwasalimia. Nape Nauye, ikamlazimu apinde mgongo wake kuwasalimia wadogo zake. Ama kweli kurudisha heshima ya chama kazi!
unajifariji tu, ukweli ni kwamba hao vijana wanaona ccm ndio walio wasababishia ugumu wa maisha na ndio maana wameamua kutokuwajali viongozi wenu. wangekuwa CDM kila mmoja angetabasamu kwa bashasha ya matumaini mapya.kwa kuwa viongozi wenu wanapenda usultani na umungu mtu,sisi tunawaheshimu hawa ndio waliotuajiri kwa kutupa kura zao,so lazima tujinyenyekeze kwao,ccm wapiga kura ndio mabosi,hivyo kwa mabosi kukaa wakati mtumishi wao anawasalimia poa tu,usultani wenu ndio unaofanya wananchi wawakatae,wanajiona hawako connected na nyie