MWASU MSHAA
Member
- Oct 7, 2012
- 63
- 57
huku shinyanga halmashauri ya manispaa imeamua kuwa gari ndogo hiace zipaki eneo la stendi ya zamani lakini cha kushangaa eti viongozi uchwara wa ccm eti mmoja anaitwa shigino na mwingine anaitwa mseti na tumbo lake kuuuuuuubwa wamesimama na kuwatukana traffic wasihamishe magari eti wao ni chama tawala na eti wanaisimamia serikali kuisimamia gani huko mnaingilia maamuzi ya baraza la madiwani tena wengi wao wakiwa haohao wa ccm!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!iWANATAKA KULETA FUJO MJINI