Picha za Zitto: Before and after Umra

Jamani "Umrah" ni Hijjah ndogo, na mtu aweza kwenda wakati wowote akiweza, ili mtu aitwe Al - Hajj means ameenda Hijjah kubwa, sio "Umrah"

Yaaani watu wana mahaba na zitto mpaka basi kuna mtu humu kampa pongezi na kumwita al haj...yaani watu wanatamani hata wamuite mume wao
 
Kama Kaaba ni patakatifu kabisa kwa uislam ndio anaingia mfalme wa saudia tu? Kwani yeye ndio kiongozi wa kiroho wa waislaam wote au ni kiongozi wa dola ya saudia tu! Je zitto angeweza kuingia Kaaba?

Kusoma huwezi basi hata picha huoni? hapo kuna mfalme pekee?
 
UNAPOKUWEPO FAIZAFOXY jamvini mimi huwa narelax tu.Huwa unawapa data halisi wanakimbia mwishoni! Nilitaka kuwajibu kwa maswali ya kipumbavu yao lakini wewe ushafunga mjadala. Kula like 5,0000,000.
 
hicho kijumba ndo waislam wote duniani wanaswali kuelekea kilipo?
 

kwani zitto ana mola wake pekee yake?
 
Nilivyoelewa wengine walinzi wa mfalme!

Wapo walinzi wa Mfalme, lakini tazama picha hii, hakunamfalme hata mmoja hapa:

[h=1]Kaaba to be washed tomorrow[/h] Posted by Rafiq A. Tschannen
JEDDAH: ARAB NEWS
Sunday 9 June 2013
The ceremonial washing of the Holy Kaaba, which is carried out before the beginning of the month of each Ramadan, is set to take place tomorrow.
Makkah Gov. Prince Khaled Al-Faisal will lead the ceremony, which will be attended by diplomats from Islamic countries.
Sheikh Abdul Rahman Al-Sudais, head of the Presidency of the Two Holy Mosques, his deputy, Muhammad Al-Khozaim, and a number of ministers will also take part.
Speaking to reporters on the occasion, Al-Sudais commended the Saudi government's efforts in the service of the two holy mosques and improving facilities for pilgrims.
"The presidency will prepare a special mixture of Zamzam and rose water for the washing of the Kaaba," said Al-Sudais, adding that it is a sunnah of the Prophet (peace be upon him). The Prophet washed the Kaaba after the Makkah victory, he pointed out.
Meanwhile, Prince Khaled yesterday presided over a graduation ceremony at Taif University. A total of 2,712 students graduated from the university, including 62 with master degrees and 2,437 with bachelor degrees.
Abdul Elah Banajah, president of the university, urged graduates to work for strengthening the Kingdom's development.
Kaaba to be washed tomorrow | Arab News — Saudi Arabia News, Middle East News, Opinion, Economy and more.
Picture of a previous washing of the Kaaba

 
Faiza, pale pembeni mwa Ka'aba umesahau kuweka picha ya lile jiwe(al-ajar al-Aswad) lililogeuka rangi toka nyeupe kwenda nyeusi kwa ajili ya kunyonya dhambi za bin-Adam!

Hivi zito amebusu hii kitu au ni mpaka hajj kubwa?

 
Sisi Kaaba yetu ilitakiwa ijengwe Mbozi Mbeya watu wakazembea. Sasa hivi tungekuwa tunakwenda kuhiji Mbeya.

 
Kutoka instagram:
NDUGU ndugu zangu KATIKA IMANI naomba mnisaidie maelezo ya hii UMRA..NAWASILISHA

So what?! anyway labda nipo peke yangu, kuingoza hii nchi Mh. Zitto atahitaji zaidi ya haya..hii ni imani yake binafsi, huwezi ona Bw. Baraka Obama kaingia msikitini au kanisani akaanza kujifagilia kama hivi..naona vituko kama hivyo ni pumba tu kwa viongozi tuwatakawo nchini kwetu, wawe wa CCM au vya upinzani...
Imani zetu, maji na umeme kwa kila mwananchi, rushwa mwiko, huduma za afya kwa kila mwananchi, mikataba mibovu mwiko, huduma kwa jamii kipaumbele kuwasha magari kutwa nzima kwa kutaka AC mwiko, miundo mbinu iwe alama na kura kwa watakaotuongoza na sio kusomesha na kutibu familia za viongozi wetu nje...yapo mengi..mnayajua ambao kama sisi mtaani tunayakabili kila kukicha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…