figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Mama Maria Nyerere (Maria Waningu Gabriel Magige), early 1950s. Amezaliwa 1930, Kiabaibi, Rorya.
1965 Eduardo Mondlane na Ernesto "Che" Guevara katika ofisi za Chama cha FRELIMO, Dar Es Salaam.
Prof Mark James Mwandosya na mkewe, Mama Lucy Akiiki, 1970s. Picha kwa hisani ya: Max Mwandosya
Queen Elizabeth II na Mwalimu Nyerere in BBC filming of The Royal Family 1968-9. ©Royal Collection
Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Edward Lowassa na mkewe, Mama Regina Lowassa.
Rais Pombe Magufuli wa kwanza kulia Pamoja na wanafunzi wenzie, MSc Chemistry UDSM, Miaka ya 1990.
Januari 23, 1964; Mwalimu Nyerere katika mkutano na waandishi wa habari baada ya Maasi ya Jeshi waliotaka kumpindua.
Chanzo: Mitandaoni